mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6 kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    [Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge. Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya. Ndio...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6, kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge, Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwalimu afungwa miaka 30 kwa kumlawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kwenda jela miaka 30 mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 16,2022 ikiwa ni siku mbili tu tangu mwalimu...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya mwanafunzi wa Law School of Tanzania aliyeomba iendeshwe LIVE yapangiwa Majaji

    Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na mwanafunzi wa Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania – LST), Alexander Barunguza, ambayo ameiomba mahakama iruhusu mwenendo wake utangazwe mubasahara kwenye vyombo vya habari, imepangiwa jopo la majaji watakaoisikiliza. Akizungumza na Mwananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ma cashier wa mwendo kasi wana ujanja wa kuuza ticket za mwanafunzi kwa watu wazima kisha kinachozidi 450 ni chao.

    Habari za jioni Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana. Nauli ya mwanafunzi ni 200 Nauli ya mtu mzima ni 650. Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu. Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajaribu kujiua kwa kujikata tumbo baada ya kudaiwa kumuua mwenzake

    Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi wake Julias Gervas (26) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho sababu ikitajwa kuwa wivu wa mapenzi. Winfrida Michael (24) mwanafunzi wa Chuo cha St John amefariki baada ya kuchomwa kisu na mpenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

    Mwanafunzi aliyelisti hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya aliyewekwa mateka Saudi Arabia aachiwa

    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa Elimu kwa manufaa ya Wanafunzi na Taifa

    Jina: Hussein Juma Jitihadi 1.0 UTANGULIZI Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya kutoka katika mfumo wa Elimu ulio imara na wenye kubadilika ili kukidhi mahitaji. Elimu hutumika...
  13. JamiiForums Tanzania Ben lyakwipa mwanafunzi wa Mkwawa enzi hizo aliyekikosoa kitabu cha Abot kwà ufasaha

    Kuna mwamba mmoja alisoma mkwawa sec enzi hizo alikuwa kipanga balaa. Nini kilitokea Rekodi yake ni unwritten kwasababu miaka hiyo kitabu cha Abot na nadhani mpaka sasa kilikuwa kinatolewa kwà matoleo (editions) sasa huyu mwamba alifanya jambo kubwa mno ila halijasimuliwa popote.
  14. JamiiForums Tanzania Sheria ya Ubakaji: Maswali yangu kuhusu adhabu ya miaka 30 ya kumbaka mwanafunzi

    Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi. 1. Nani...
  15. JamiiForums Tanzania Amempa mimba mwanafunzi, akamnunulia dawa za kutoa-hakuzitumia. Sasa anaomba ushauri!

    Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani. Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi. Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Kazi tatu za kumwingizia mwanafunzi pesa akiwa chuoni

    Utangulizi Mfumo wa elimu nchini humfanya mwanafunzi azingatie Sana kusoma, Hali ambayo inamfanya kuwa mbali na harakati za kutafuta pesa zake mwenyewe. Tunajua namna ambavyo shule huchukua muda mrefu mpaka kumaliza kiwango cha shahada ya kwanza. Kwa kawaida mtu anaweza kuhitimu shahada ya...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Safari ya Mwanafunzi

    Utangulizi Elimu ni ufunguo wa Maisha ni neno ambalo limekua likizungumzwa sana katika jamii yetu. Neno hili limekuwa likitumika kuhamasisha wanafunzi kupenda shule na kuongeza juhudi zaidi katika masomo yao. Wazazi wengi wamekua wakiamini na kuwaaminisha watoto wao kuwa bila ya kuwa na elimu...
  18. JamiiForums Tanzania Kinyozi atupwa jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa, imemhukumu kinyozi, Batista Ngwale (27) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18. Binti huyo alikuwa akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kibena iliyopo Iringa Vijijini. Binti aliiambia...
  19. JamiiForums Tanzania Dar: Anayedaiwa kumuua mwanafunzi wa UDSM akamatwa, akiri kufanya tukio hilo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na operasheni kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu ikiwa ni pamoja na kuwasaka wahalifu waliotenda makosa ya kijinai ya siku za nyuma katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Katika hatua hiyo Polisi wamemkamata GADI DAUDI@ tito...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya tanzania ni kweli inamuaanda mwanafunzi kupambana na soko la ajira

    Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…