mwana

Mwana Kupona binti Msham (born on Pate Island, died c. 1865) was a Swahili poet of the 19th century, author of a poem called Utendi wa Mwana Kupona ("The Book of Mwana Kupona"), which is one of the most well-known works of early Swahili literature.
Relatively little is known about her life. Her grandson Muhammed bin Abdalla reported in the 1930s that Mwana Kupona was born on Pate Island, and that she was the last wife of sheikh Bwana Mataka, ruler of Siu (or Siyu), with whom she had two children. Mataka died in 1856; two years later, Mwana Kupona wrote her famous poem, dedicated to her 14-year-old daughter Mwana Heshima. Mwana Kupona died around 1865 of uterine hemorrhaging.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Mi nafikiri kama alivyosema solomoni kila kitu chini ya anga ni ubatili alikuwa sahihi.
  2. toto2000

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mwana siasa wa uongo kupitia kiasi

    Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawishi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za nishati na wanaamini kwamba WANANCHI hawawezi kutafuta uthibitisho wowote juu ya propaganda zao
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
  4. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu (AC, BC, AD)

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu: BC (Before...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

    1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki. 2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki. 3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini...
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
Back
Top Bottom