Hamis Mwinjuma, also known as Mwana FA (born in Tanga), is a Tanzanian Musician, board member of the country's National Arts Council (BASATA), and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Muheza constituency since November 2020.
MWANA FT. PROFESSOR JAY.
SONG. JUKUMU LETU.
VERSE. 1.( MWANA FA & PROFESOR JAY)
Professor jay:
Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /..
Mwana Fa:
Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini..?
Professor jay...
Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics)
Kiitikio:
------------
Hii leo
Crazy GK Mwanafalsafa AY
Weka manyanga chini
Hivi sasa tupo hewani
Twakupa maneno matamu
Na yenye thamani
Verse 1: AY
-----------
Oya.! Navaa buti
Na full CBM
Nazama street
Ntapiga dili zaidi ya 12...
Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye...
Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma (mwana fa) akizungumza baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma, lNovemba 18...
Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya fujo na sio kabla. Kumuona FA amepost nimestuka maana unazungumzia masuala ya maandamano.
Kwa...
Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama
Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa wake sidhani kama wanaharakati wataenda kushusha kejeli kama tulivyofanya kwa mjomba.
Sababu ni ipi...
Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO.
Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company.
Hii ni...
Mbunge anayetetea kiti chake katika Jimbo la Muheza Mkoani Tanga Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amepata ushindi wa kishindo katika kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe hii leo Jimboni hapo kwa kupata kura 9030 ambazo ni sawa na asilimia 91.
Katika ushindi huo, MwanaFA ameongoza na...
Wakuu mpo!
Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025
https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/
Leo nmeona taarifa kachukua fomu.
Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia...
Mwana FA unapochukizwa na waamuzi CAF na kupendekeza wawe wanateua tu Bingwa, vipi nyie wabunge na madiwani au Rais? NEC si iwateue tu.
Tungeokoa pesa na vifo vya wapinzani.
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.
"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza...
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha afya ya akili ya watoto.
Kauli hiyo imetolewa Bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu Mei 5, 2025 na...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari kuripoti kwa usawa kwa vyama vyote kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Aidha amevitaka vyombo vya habari...
Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule imekwisha sasa. Hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi karibu na kijiji...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo lilikuwa na mgogoro wa ardhi wa muda mrefu. Mgogoro huo umekuwa ukiendelea kwa takribani miaka 9 na leo...