mwamba

Musonda Trevor Selwyn Mwamba (born 1958), known as Trevor Mwamba, is an Anglican bishop. He was consecrated Bishop of Botswana on 6 February 2005. He tendered his resignation as Bishop of Botswana on 30 September 2012 – the day on which Botswana marks the anniversary of its independence from Britain. His successor was consecrated on 14 July 2013. On April 4th 2021, he was elected President of the United National Independence Party.
A true ‘citizen of the world’, at home in many cultures. Passionate about justice, equality and the empowerment of all God’s children. Outgoing, well-read, approachable, with a sense of humour and strong diplomatic skills.
He took up the post of Team Rector of Barking in the Church of England on 1 January 2014, a post he resigned in December 2019. On 9 November 2013 he was made an honorary assistant bishop in the Diocese of Chelmsford.He made a cameo appearance on the third episode of the HBO and BBC co-produced miniseries The No. 1 Ladies' Detective Agency. He appears in the episode entitled "Poison" as himself thanking members of the business community of Gaborone for their donations to the fictional orphanage portrayed in the series. He is married to Mmasekgoa Masire-Mwamba, a Commonwealth Deputy Secretary-General from 2008 to 2014.He was made a deacon at Petertide 1984 (1 July) by Mark Santer, Bishop of Kensington (by letters dimissory from Leonard Mwenda, Bishop of Lusaka), at St Luke's, Chelsea, Greater London and served briefly as curate of All Saints, Notting Hill. He left the UK in 1985 to become Rector of Luanshya and Vocations Director for Central Zambia, and was ordained a priest that year.On April 4th 2021, he won the presidency of the United National Independence Party. He managed to wrestle power away from long time incumbent Tilyenji Kaunda who held on to power for 20 years after succeeding his father Dr. Kenneth Kaunda. This marks the first time (UNIP) has not been lead by a Kaunda since the 1960s.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RIP MWAMBA

    Leo ndugu zangu nitawapa mkasa uliotokea kwenye mapenzi katika kambi moja ya jeshi Mkoa WA pwani.Katika mahusiano ya jamaa mmoja ambaye alikuwa mjeshi jamaa tulizoea kila siku anapigiwa na mkewe sasa siku hiyo akakuta SMS za mapenzi Kwa mkewe ndio kisanga kikaanza hapo jamaa akaanzisha timbwili...
  2. JamiiForums Tanzania Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

    Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku...
  3. JamiiForums Tanzania Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi. Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

    Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji...
  5. JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa kazaliwa upya, Mabeberu wajipange

    Hii picha imepostiwa na binti yake Gaddafi mtoto ni Gaddafi mtupu.apo kavaa kama babu yake muammar Gaddafi.
  6. JamiiForums Tanzania Mwamba ametumiwa Birthday Wishes halafu Kala Bati!

    Narudi zangu home baada ya harakati za hapa na pale za mtu mweusi, huku nikiwamind dereva na konda wake baada ya kutufaulisha Kwa kukata ruti,kisa eti trip hailipi kwakuwa hawakuwa na abiria WA kutosha, basi tukafualishwa kibwege na safari ikaendelea. Na Mimi ndio mwana Jf pekee utanisikia...
  7. JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru kaongea dakika anajibiwa wiki

    ☝🏾Ukipenda muite Dr. Bashiru Ally Kakurwa Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi. Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima. Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima. Na hawajibu alichozungumza ila...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mpinzani wa huyu mwamba kwa Bei chini ya buku sita 6000/=

    Mwamba kama mnavyomuona unaweza fika benki wakakuachia kiti umalizie kuhesabu pesa. Hana longo longo Njoo na mpinzani unayeweza kudhani atamtoa kwenye (low price high value 💪character)
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya dunia inapaswa kumkumbuka huyu mwamba wa Kirusi, kwani alishawahi kuuokoa ulimwengu

    Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama USSR (Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR). Ilikuwaje kuwaje mpaka akauokoa ulimwengu dhidi ya maafa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sanifu Lazaro, Thom Kipese na Said Mwamba Kizota walikuwa wananikonga moyo Yanga ikicheza miaka 90's

    Hawa jamaa waliujua mpira bana. Maana kama ni wingi ya kushoto au kulia ilikuwa lazima mtu akae. Nilikulia jirani na mitaa ya Ghana Mwanza na hapa ilikuwa karibu na CCM Kirumba. Hawq jamaa walijua kutafuta magoli. Waliujua mpira.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni mwamba, kichwa na kiongozi. Kaa kwenye nafasi yako

    Habari wana JF, Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
  12. JamiiForums Tanzania Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi. Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mbatia Hakubaliki kila kona, jitihada za kujitetea zimegonga mwamba

    Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari. Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mwamba inaonyesha kapelekwa Tanga ku deal na Mafia wa magendo

    Ndani ya mwezi mmoja yeye na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tanga na yeye akiwa ndiye M/kiti wamefanikiwa kukamata mali za magendo zisizopungua thamani ya bilioni 4! Na inaonyesha dhamiraye ni kukomesha kabisa uhuni ule unaofanywa na ma mafia wa Tanga na Dar es Salaam. Je, atawaweza...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Fadhili Mpunji: Mipango hewa ya juhudi za Umoja wa Ulaya kudhoofisha nguvu ya ushawishi wa China barani Afrika zaonekana kugonga mwamba

    Mkutano wa kilele kuhusu Afrika Kuzoea mabadiliko ya tabia nchi kuzoea mabadiliko ya tabia nchi “African Adaptation Summit” ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba mjini Rotterdam Uholanzi. Mkutano huo ni sehemu ya juhudi za nchi za Ulaya kuimarisha ushirikiano na nchi za Afrika la kukabiliana na...
  16. JamiiForums Tanzania LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

    Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani. Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country. Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Nimejitoa maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini

    Wote tunapenda afya njema, Amani na upendo pamoja na Uhuru wa kujieleza. Ndani ya Serikali, awamu ya tano wote tulikubaliana kuwa tutaishi na corona, kama magonjwa mengine. Kwamba atujui hili gonjwa litaisha lini na viongozi mbali mbali walikua mstari wa mbele kutuaminisha kwamba tumeishinda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mwamba Adolf hitler

    Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa. Katika simulizi nilihadithiwa na bibi warafiki yangu mwaka juzi tu ikanishangaza kumbe mwamba kweli alikuwa ananguvu za kishetani bibi huyo anasema kipindi,alipo kuwa binti ndo wakati huo Hitler anapambana na ungereza kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Iwe mwisho kumfananisha mwamba wa lusaka na vitu vitu vyenu!

    Sina sababu ya kuelezea sana! Mwamba anajieleza mwenyewe! Nasema mwisho leo kumlinganisha na hiyo michembe {mabumunda} yenu.
  20. JamiiForums Tanzania Happy birthday Mwamba Ollachuga Oc.🤣🤣

    Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama 😂😂 Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa 🤣🤣🤣. Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…