mwamba

Musonda Trevor Selwyn Mwamba (born 1958), known as Trevor Mwamba, is an Anglican bishop. He was consecrated Bishop of Botswana on 6 February 2005. He tendered his resignation as Bishop of Botswana on 30 September 2012 – the day on which Botswana marks the anniversary of its independence from Britain. His successor was consecrated on 14 July 2013. On April 4th 2021, he was elected President of the United National Independence Party.
A true ‘citizen of the world’, at home in many cultures. Passionate about justice, equality and the empowerment of all God’s children. Outgoing, well-read, approachable, with a sense of humour and strong diplomatic skills.
He took up the post of Team Rector of Barking in the Church of England on 1 January 2014, a post he resigned in December 2019. On 9 November 2013 he was made an honorary assistant bishop in the Diocese of Chelmsford.He made a cameo appearance on the third episode of the HBO and BBC co-produced miniseries The No. 1 Ladies' Detective Agency. He appears in the episode entitled "Poison" as himself thanking members of the business community of Gaborone for their donations to the fictional orphanage portrayed in the series. He is married to Mmasekgoa Masire-Mwamba, a Commonwealth Deputy Secretary-General from 2008 to 2014.He was made a deacon at Petertide 1984 (1 July) by Mark Santer, Bishop of Kensington (by letters dimissory from Leonard Mwenda, Bishop of Lusaka), at St Luke's, Chelsea, Greater London and served briefly as curate of All Saints, Notting Hill. He left the UK in 1985 to become Rector of Luanshya and Vocations Director for Central Zambia, and was ordained a priest that year.On April 4th 2021, he won the presidency of the United National Independence Party. He managed to wrestle power away from long time incumbent Tilyenji Kaunda who held on to power for 20 years after succeeding his father Dr. Kenneth Kaunda. This marks the first time (UNIP) has not been lead by a Kaunda since the 1960s.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Ya Kwanza ( #1 ) Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa. Ya Pili ( #2 ) Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
  2. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
  3. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwamba anasikilizia mchongo

  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

    Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!! Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa. Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

    Dah huyu Mwakinyo. ==== "Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
  6. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Mwamba Huyu Hapa...!

  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF: Goli la Mwamba Chama ni goli bora la week

    My Take Hii ni heshima ya nchi na ligi yetu. Wadau wote bila kujali itikadi tukampigie kura Chama tumalize kazi. Sasa wamelingana kura mwarabu. Tulichobakisha ni kupiga kura za hasira na kumpita kwa mbali
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF

    Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura tumchague mchezaji bora wa wiki kati ya Chama au Kanoute My Take 1. Tunakuomba ingia twiter kumpigia kura...
  9. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya kazi kubwa, Mwamba anarudi kuitumikia nchi yake

    Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kuitumikia nchi yako wakati tukijipanga kufika fainali na kuchukua ubingwa CAFCC...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

    Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli. Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwamba muda si mrefu anaingia choo cha kike

    Habari Wana Jf Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume wengi wanavipenda.Kutokana urafiki wa Karibu nilionao na yeye aliwahi kunitengenezea mazingira ya...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu mwamba aliwakosea nini hawa mabinti?

    Kuna hii video iko viral mwamba anakula hamsa kama zote toka kwà mademu; nadhani ni kenya. Swali je aliwakosea nini?
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa, ukimuona tu utajua leo kazi tunayo

  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa mwamba. Rais Samia ukicheka na hawa watakukwamisha sana

    Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya...
  15. RugambwaYT

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa Namna hii Wanapatikana Wapi?

    Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
  16. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Haikuwa kazi rahisi kumng'oa Dr. Eliona Kimaro Kijitonyama, tulitumia mbinu nyingi ziligonga mwamba

    Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha. Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo. Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena...
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mwamba haonyeki, kaanza kuyakanyaga!

    Hivi karibuni tu kaachana na manzi yake ilikuwa kuzaizai hatari!,kwa Mbilinge alizofanyiwa ikabidi tumshauri tu aachane na manzi yake. Msela akaachana kwa uchozi wa mamba na kuapa kwa maneno mengi huku akiyatukana mapenzi na kulaani ile mbaya!. Mwamba hakomi juzi si nimeketinae mara simu ikaita...
  18. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Mwamba alietunyoosha huyu hapa

    Baada ya kukumbuka lile tukio la kufukuzwa, japo sio ishu saaana nimeona niwasimulie na huyu mwamba sasa alietunyoosha mimi na dada angu na huu ndio ukawa mwisho wa outing. Yaani outing zikawa za moto hakuna alietaka kusikia mtoko tena. Nicheke tu kwanza! Haya mambo yote yalikua ni harakati za...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwamba Freeman Mbowe Mwasisi wa Maridhiano

    Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndiye Producer mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza beats kali kuwahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva

    Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee...
Back
Top Bottom