Nimemkumbuka mwamba Adolf hitler

mipango99

JF-Expert Member
Aug 20, 2022
264
355
Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa.

Katika simulizi nilihadithiwa na bibi warafiki yangu mwaka juzi tu ikanishangaza kumbe mwamba kweli alikuwa ananguvu za kishetani bibi huyo anasema kipindi,alipo kuwa binti ndo wakati huo Hitler anapambana na ungereza kwenye koloni la east africa vita vilikuwa vikali Wa German wakashindwa ikabid waachie koloni.

Bibi huyo anasema hitler alikimbia kuna mpaka upo huko kaskazini mwa tanzania umepakana na Kenya kuna mto mkubwa Sana ndo umetenganisha Tanzania na kny.

Juu kuna mlima mrefu kiasi chini ndiyo huo mto kufika pale mwamba alijirusha kutoka juu ya mlima mpaka kwenye mto akazamia chini Waingereza wakafika piga mabomu kuuzingira huo mto lakini mwamba hakuonekana.

Akaja kuibukia huko mbele na hiyo ndo ilikuwa mara ya mwisho kuikanyaga ardhi ya africa hajawai rudi.

Stori nyingine kuna sehemu huko huko inasadikiwa aliacha sanduku lake katikati ya jiwe kuna msitu unapitisha maji unaambiwa kuna mzee alienda kulichukua ilo sanduku kufika akaliona ile kuchukua akapofuka macho.

Kama na wewe ulishawahi kusikia habari zake huyu mwamba unaeza jazia.
 
Huyo bibi yako ndio wale wabibi wanaosimulia story za kichawi za uongo mwisho wa siku story zinakuja na kuonekana ukweli ila huwa ni myths au hoax.

Hitler alishiriki vita ya kwanza ya dunia hasa akiwa messenger kwenye frontline. Kipindi kile hakuna mawasiliano ya uhakika, kama umeona movie ya 1917 yule main character alikuwa anafanya kazi kama ya Hitler.

Hitler alikuja kuumia akalazwa hospitali kabla hajatoka Ujerumani ikasaini kushindwa vita na hakupenda kabisa. Hakuwahi tia miguu ardhi ya Afrika, hata WW2 Wajerumani waliishia Egypt, Tunisia na Libya
 
Huyo bibi yako ndio wale wabibi wanaosimulia story za kichawi za uongo mwisho wa siku story zinakuja na kuonekana ukweli ila huwa ni myths au hoax...
Sio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German.

Halafu cjasema nihistoria iliyoandikwa kwenye kitabu hapana...nisawa na kusema kwenye vita vya kumngoa nduli idiamin uganda kunastori nyingi behind hazijawai kuandikwa popote pale. .kama wanajeshi wengi wa tz waliuwana wenyew kwa wenyw unajua kwann
 
Facist wengi ni watu smart sana wanaitikisa dunia na kuchallenge dunia kwa mitazamo yao yenye ushwawishi wa ajabu na wengi wamekuwa wakihusishwa na kuabudu shetani(satanism) kina musolin,hitler na mwamba wa karne hii bwana Aleksandr Dugin na kitabu chake; The foundations of geopolitics:The geopolitical future of Russia,1999 kilicho hamasisha vita ya crimea (2014) na ukraine.
 
Kwahyo na kim jon kiduku...yupo kwenye kundi hili lama facist
 
Sio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German. ..alafu cjasema nihistoria iliyoandikwa kwenye kitabu hapana...nisawa na kusema kwenye vita vya kumngoa nduli idiamin uganda kunastori nyingi behind hazijawai kuandikwa popote pale. .kama wanajeshi wengi wa tz waliuwana wenyew kwa wenyw unajua kwann

Amesema kwenye vita ya pili ya dunia german hawakufika tanganyika

Hajasema kuwa german hajawahi kufika tanganyika kipindi cha ukoloni
 
Kama unaelewa maandishi ya kingereza, soma kitabu kinaitwa "RISE AND FALL OF THE THIRD REICH, The history of Nazi Germany".

Achana na stori za vijiweni za wapuuzi wanaoshinda kutwa kubishana Simba na Yanga!,
Hawezi kukisoma huyu. Watu kama hawa hupenda story za Kanumba alifariki kisa Freemason, mfano ukileta taarifa ya daktari au forensics ikisema alisukumwa akaanguka akavuja damu kwenye ubongo akazimia na kufariki wanaiacha ikiwa na evidence zote za polisi, daktari na mahakama ila wanakubali story ya Freemason inayotungwa na jamaa aliyeishia la saba amevaa kanzu ametoa nakala za CD anauza. Humo wametajwa Jay Z, Papa, Obama na Kikwete eti ni wanachama.

Hawa level zao ni Story book kile kipindi cha Clouds sijui Wasafi, sio vitabu. Kuna maneno mtu akisema unaona huwa anapenda simulizi za aina gani
 
Inasikitisha sana!
 
Sio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German.

Halafu cjasema nihistoria iliyoandikwa kwenye kitabu hapana...nisawa na kusema kwenye vita vya kumngoa nduli idiamin uganda kunastori nyingi behind hazijawai kuandikwa popote pale. .kama wanajeshi wengi wa tz waliuwana wenyew kwa wenyw unajua kwann
Bibi yenu hawezi jua lolote juu ya Nazi Germany wala Hitler. Si ajabu hata maneno"ich liebe dich" haelewi ni nini. Story yake ya kutunga, naye ukute kahadithiwa.

Hitler kwenye Mein Kampf kaandika historia yake kiasi, uzuri secretary wake aliishi muda mrefu sana baada ya vita kwahiyo memoirs na mahojiano mengi alishiriki. Tazama movie ya Downfall ambayo ni historically correct utapata chochote kitu kuhusu private secretary wake. Hitler didn't give a fu.ck about Africa sijui Tanganyika. Katika races alipanga rank kuanzia Aryans aliosema ni pure, then wazungu wengine, then Warusi na akaspecify Wayahudi waangamizwe kabisa. Waafrika ni kama hakuwatambua isipokuwa alilazimika kuiteka Egypt kuzuia meli za mafuta na replenishments zisipite Suez canal kwenda kwa Allies. Aliposhindwa Egypt akasogea Libya na Tunisia ndipo Field Marshall Erwin Rommel "Desert Fox" akiongoza Afrika Korps alikosa supplies akashindwa.

Watu ni PhD holders na maprofesa wameandika vitabu ila wewe unachagua kumsikiliza bibi
 
Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa.

Katika simulizi nilihadithiwa na bibi warafiki yangu mwaka juzi tu ikanishangaza kumbe mwamba kweli alikuwa ananguvu za kishetani bibi huyo anasema kipindi,alipo kuwa binti ndo wakati huo Hitler anapambana na ungereza kwenye koloni la east africa vita vilikuwa vikali Wa German wakashindwa ikabid waachie koloni.

Bibi huyo anasema hitler alikimbia kuna mpaka upo huko kaskazini mwa tanzania umepakana na Kenya kuna mto mkubwa Sana ndo umetenganisha Tanzania na kny.

Juu kuna mlima mrefu kiasi chini ndiyo huo mto kufika pale mwamba alijirusha kutoka juu ya mlima mpaka kwenye mto akazamia chini Waingereza wakafika piga mabomu kuuzingira huo mto lakini mwamba hakuonekana.

Akaja kuibukia huko mbele na hiyo ndo ilikuwa mara ya mwisho kuikanyaga ardhi ya africa hajawai rudi.

Stori nyingine kuna sehemu huko huko inasadikiwa aliacha sanduku lake katikati ya jiwe kuna msitu unapitisha maji unaambiwa kuna mzee alienda kulichukua ilo sanduku kufika akaliona ile kuchukua akapofuka macho.

Kama na wewe ulishawahi kusikia habari zake huyu mwamba unaeza jazia.
Mweeee haya yatakuwa ni masimulizi ya kanda za Mr. Bond zilipigwa marufuku na Mrema mwaka 1988
 
Sio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German.

Halafu cjasema nihistoria iliyoandikwa kwenye kitabu hapana...nisawa na kusema kwenye vita vya kumngoa nduli idiamin uganda kunastori nyingi behind hazijawai kuandikwa popote pale. .kama wanajeshi wengi wa tz waliuwana wenyew kwa wenyw unajua kwann
Ukiona mtu anaandika cjasema kamwe usiamini alichokiandika, maana hata yeye hakijui
 
Haki ya Mungu JF.....🤣🤣🤣
Ningependa sana kuwa na bibi kama huyo, baada uchovu wa siku nzima ya mihangaiko halafu jioni nimechoka niko nyumbani namsikiliza bibi na stori za hitler....
 
Back
Top Bottom