mwakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polo magonda watch out kuna wakubwa wanataka kukusamilia kabla ya esther

    Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
  2. Mwakani tutahondomola sana

    Kwa jinsi siasa za nchi hii sinavyoenda, mwakani patakua na njaa kuu, wanawake watapatikana kwa bei chee sana maana hata hela ya kula itawasumbua sanaaaaa. Yani mwakani kwa njaa itakayokuepo ukishindwa kua na wanawake zaidi ya watano utakua mzembe sanaaaaa Mwakani tutawabonda sanaaaaa Yani...
  3. Mungu akitujalia uzima, mwakani tutawajua dhahiri manabii wa uongo!

    Ndugu wapendwa, kama ilivyoandikwa katika Mt 24:11, hizi ni siku za mwisho; manabii wengi wa uongo wametokea na kuanza kuwadanganya wengi. Fuatilia Youtube na mitandao mingine utaona video nyingi za manabii wanaoeleza kwamba wameambiwa na Mungu waseme waliyoyasema. Miongoni mwa manabii hao ni...
  4. Wapendwa tujitahidi kuweka akiba, mwakani hali ni mbaya

    Msidanganyike na hivi vishekeli vya sasa! Huu ndio msimu wake, upatipa haraka! Uchafuzi shekeli humwaga kila kona! Kibubu hutobolewa kabisa ili kupunguza kelele Huu ni wakati wa ulaji.. Ni wakati wa upigaji ... Kama uchafuzi utafanikiwa.. Basi tambua hali ni tete mwakani Tujiandae! Tufiche...
  5. Laaana ya Mzize haitawaacha Yanga mwakani

    Kinachoendelea Dili ya Clement Mzize Kuelekea ESPERANCE SPORTIVE DE TUNIS ni Masikitiko Makubwa.πŸ‘€πŸ‘€ Dili ya Clement Mzize Kwenda Esperance Sportive de Tunis Linakaribia Kabisa Kuota Mbawa Yanga Africa walitaka USD Milioni Moja Kama Kuna timu Inataka huduma ya Mzize,Esperance wakaleta hii OFA...
  6. Utabiri: Uchaguzi kufanyika mwakani February 2026

    Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi zitatokea na kivyovyote uchaguzi utasogezaa mbele Sababu hizo zitasababisha mgawanyiko baridi ndani ya CCM uishe na chadema watashiriki uchaguzi
  7. Mwaka huu hakutakuwa na Kizimkazi Festivals hadi mwakani july 19-26 panapo Majaliwa

    Wakuu habari ndiyo ni kwamba kama ilivyozoeleka tangu Mhe. Rais Samia aingie madarakani 2021 serikali ilianzisha Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kuenzi tamaduni za asili,uzinduzi wa miradi ya Serikali huko visiwani pamoja shughuli mbalimbali za kijamii. Tamasha hilo ambalo limekuwa maarufu...
  8. Yanga Yatishia Kujitoa Kwenye Ligi Mwakani endapo Matakwa yao yasipofanyiwa kazi

    https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe, lakini...
  9. Mzee Kaguta Museveni akiwa na miaka 80 anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026

    Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni. Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu. Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
  10. Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mwakani

    Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
  11. GTA VI kuzinduliwa mwakani May 26

    Kutoka kwenye official page ya Rockstar Games, sasa ni official kuwa Grand Theft Auto VI litazinduliwa rasmi mwakani 26 may tofauti na matarajio ya watu wengi kwamba lingezinduliwa mapema ndani ya mwaka huu. Daah hii taarifa imeniuma sana sababu hili game nlikuwa nalisubiria kwa hamu na shahuku...
  12. Tanzania yajipanga kufanya sensa ya viwandani mwakani

    Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na Zanzibar. Sensa hiyo ambayo mara ya mwisho ilifanyika miaka 12 iliyopita, inalenga kukusanya takwimu katika...
  13. Endapo kama chadema haina fedha kwa sasa hakuna ubaya uchaguzi wao ukahairishwa mpaka mwakani!

    Hii ni kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa chadema, tulimsikia akidai chadema kwa sasa haina fedha, hata za uchaguzi. -Hekima ni uhairishwe ili pia bwana mbowe anusurike 😁😁😁 #savembowe #helpmbowe #rescuembowe
  14. Musoma Vijijini Inajitayarisha Kufungua Sekondari Mpya Sita (6) Mwakani 2025

    MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025) Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha. Kipaumbele hicho ni: ELIMU Jimbo lina Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374. Tunazo Sekondari za Kata 26 na za Binafsi ni...
  15. Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

    Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi. Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho. Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020. Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa...
  16. L

    CCM Itavuna na kupokea Viongozi wengi Sana waandamizi na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika kwa uchaguzi wake Mapema Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani. pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo vuna na kupokea viongozi mbalimbali waandamizi pamoja na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika...
  17. B

    Mpenzi/mke wako akishika mimba mwezi huu jiandae mwakani mwezi 8 kuitwa baba

    Tunaanza weekend salama.Poleni kwa mihangaiko wapambanaji wenzangu Ila ni muhimu kuepuka Mimba zisizotarajiwa.πŸ€£πŸ‘‡
  18. N

    Anatafutwa Mwalimu wa Muda wa Kumuandaa mtoto anayeingia darasa la pili mwakani

    Katika kipindi hiki cha likizo, anatafutwa mwalimu anayefundisha darasa la pili (English Medium). Kwa mawasiliano zaidi, piga simu 0682405461
  19. PreGE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  20. Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

    Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40. Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena. Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…