mwakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

    Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40. Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena. Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
  2. GoldDhahabu

    Anaweza kupokelewa shuleni mwakani?

    Ni kijana wa kiume aliyemaliza kidato cha nne mwaka Jana na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano mchepuo wa Sanaa mwaka huu. Hakuweza kuripoti shuleni mwaka huu kwa sababu alikuwa mgonjwa. Nduguze hawakutoa taarifa shuleni. Anaweza kupokelewa tena shuleni endapo mwakani ataamua kwenda...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  4. GENTAMYCINE

    Ombi langu Muhimu kwa Waandaji wa Siku ya Mwalimu Nyerere kwa kuanzia mwakani 2025

    Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
  5. L

    PreGE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

    Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo. Amesema mbunge aliyepo kwa sasa...
  6. GENTAMYCINE

    Tunajua Unalazimisha huku Kujipendekeza Kwake ili mwakani uwe Mwandamizi katika Kuzunguka nae nchi nzima wakati wa Kampeni

    DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan. Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
  7. L

    Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

    Ndugu zangu watanzania, Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu...
  8. L

    Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala...
  9. October 2pm

    PreGE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

    Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
  10. GENTAMYCINE

    Ziara ya Siku 3 tu na Mafua juu mwakani kutakuwa na Ziara Mikoa yote na Vijiji Laki Saba na Ishirini je, utaweza kwa Mafua haya ya mara kwa mara?

    Hili Swali langu hapa nawauliza hawa Marafiki zangu akina Arovera, Bila bila, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume Oky?
  11. D

    Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

    Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
  12. GENTAMYCINE

    Je, unadhani Mchakamchaka mzito wa Kuzunguka nchi nzima Milima na Mabonde kwa Mwakani ataweza Kweli au atasaidiwa na Chawa Majuha wake?

    Kila nikiangalia na kumpima kwa mambo kadhaa sioni kabisa kama hata ataweza Kuizunguka Mikoa Saba tu Nchini.
  13. Lycaon pictus

    Dunia itakuwaje Trump atakapoapishwa kama Rais wa Marekani hapo mwakani?

    Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
  14. A

    Gen Z hii Finance bill mmechelewa, subirini mwakani

    Hii Finance bill inaenda kuwekwa saini mapema asubuhi. Wakati KDF wakiimarisha ulinzi. Jaribuni mwakani. Asanteni kwa kushiriki
  15. BARD AI

    Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  16. ndege JOHN

    Mwaka huu kutakuwa na njaa, heri ukose hela ila uwe na chakula ndani

    Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi. Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
  17. L

    PreGE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
  18. L

    PreGE2025 Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
  19. B

    PreGE2025 Serikali ya CCM Mei Mosi mmejifanya wajanja, tutawanyoosha Uchaguzi Mwakani

    Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola. Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza. Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao. Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
  20. M

    PreGE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

    Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii... Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa. Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye...
Back
Top Bottom