Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
Kwa jinsi siasa za nchi hii sinavyoenda, mwakani patakua na njaa kuu, wanawake watapatikana kwa bei chee sana maana hata hela ya kula itawasumbua sanaaaaa.
Yani mwakani kwa njaa itakayokuepo ukishindwa kua na wanawake zaidi ya watano utakua mzembe sanaaaaa
Mwakani tutawabonda sanaaaaa
Yani...
Ndugu wapendwa, kama ilivyoandikwa katika Mt 24:11, hizi ni siku za mwisho; manabii wengi wa uongo wametokea na kuanza kuwadanganya wengi. Fuatilia Youtube na mitandao mingine utaona video nyingi za manabii wanaoeleza kwamba wameambiwa na Mungu waseme waliyoyasema.
Miongoni mwa manabii hao ni...
Msidanganyike na hivi vishekeli vya sasa! Huu ndio msimu wake, upatipa haraka! Uchafuzi shekeli humwaga kila kona! Kibubu hutobolewa kabisa ili kupunguza kelele
Huu ni wakati wa ulaji.. Ni wakati wa upigaji ... Kama uchafuzi utafanikiwa.. Basi tambua hali ni tete mwakani
Tujiandae! Tufiche...
Kinachoendelea Dili ya Clement Mzize Kuelekea ESPERANCE SPORTIVE DE TUNIS ni Masikitiko Makubwa.👀👀
Dili ya Clement Mzize Kwenda Esperance Sportive de Tunis Linakaribia Kabisa Kuota Mbawa
Yanga Africa walitaka USD Milioni Moja Kama Kuna timu Inataka huduma ya Mzize,Esperance wakaleta hii OFA...
Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa
Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi zitatokea na kivyovyote uchaguzi utasogezaa mbele
Sababu hizo zitasababisha mgawanyiko baridi ndani ya CCM uishe na chadema watashiriki uchaguzi
Wakuu habari ndiyo ni kwamba kama ilivyozoeleka tangu Mhe. Rais Samia aingie madarakani 2021 serikali ilianzisha Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kuenzi tamaduni za asili,uzinduzi wa miradi ya Serikali huko visiwani pamoja shughuli mbalimbali za kijamii.
Tamasha hilo ambalo limekuwa maarufu...
https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt
Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe, lakini...
Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni.
Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu.
Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani
Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
Kutoka kwenye official page ya Rockstar Games, sasa ni official kuwa Grand Theft Auto VI litazinduliwa rasmi mwakani 26 may tofauti na matarajio ya watu wengi kwamba lingezinduliwa mapema ndani ya mwaka huu.
Daah hii taarifa imeniuma sana sababu hili game nlikuwa nalisubiria kwa hamu na shahuku...
Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na Zanzibar.
Sensa hiyo ambayo mara ya mwisho ilifanyika miaka 12 iliyopita, inalenga kukusanya takwimu katika...
Hii ni kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa chadema, tulimsikia akidai chadema kwa sasa haina fedha, hata za uchaguzi.
-Hekima ni uhairishwe ili pia bwana mbowe anusurike 😁😁😁
#savembowe
#helpmbowe
#rescuembowe
MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025)
Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha.
Kipaumbele hicho ni: ELIMU
Jimbo lina Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374. Tunazo Sekondari za Kata 26 na za Binafsi ni...
Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi.
Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho.
Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020.
Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa...
Ndugu zangu Watanzania,
Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani.
pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo vuna na kupokea viongozi mbalimbali waandamizi pamoja na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika...
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.