mwaka wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Bashe: Bilioni 119 zimenunua mazao ya nafaka kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA "CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya...
  2. Analogia Malenga

    Mwaka wa Fedha 2019/20 Wizara ya Afya ilitumia Tsh. Milioni 257.9 nje ya bajeti

    Ripoti ya Uwajibikaji iliyoandaliwa na Taasisi ya Wajibu imebainisha, kushindwa kutekeleza mipango kwa mujibu wa bajeti kunaongeza uwezekano wa ubadhirifu na vitendo vya rushwa Imezitaja taasisi 6 ambazo zilitumia fedha Tsh. Bilioni 23.4 nje ya bajeti kwa mwaka 2019/20 ambacho ni kinyume cha...
  3. Analogia Malenga

    Mwaka wa Fedha 2019/20 Tsh. Bilioni 132.08 Zilitumika bila Kuripotiwa

    Mbali na sheria kutaka mapato ya serikali kuwasilisha katika Mfuko Mkuu wa Serikali, Mwaka wa Fedha 2019/20 kiasi cha Tsh. Bilioni 132.08 kilitumika bila kuripotiwa Kiasi hicho kimepungua kwa 76% ambapo mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Tsh. Billioni 553.38 kilitumika bila kuripotiwa Aidha...
  4. S

    Katika Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2024/2025, watafuta tozo zote huku wakidai Serikali yao ni sikivu

    Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana). Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
  5. N

    Siasa na Uchumi: Siku 12 za Mwaka wa Fedha zinapita, fedha ya Bajeti haijaanza kutoka; ikifika Juni 2022 ndiyo zitatoka

    Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa. Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha. Mwisho wa...
  6. ndege JOHN

    Mtumishi mpya wa Serikali anapewa wiki ngapi kabla ya kuripoti kazini?

    Ninavyojua Mimi Ni kwamba majina yanatakiwa yatoke kabla ya week sita au nane ili muajiriwa akajiandae kabla hajareport kituo chake Cha kazi. Sasa kama inavyosemekana kuwa ajira mikataba mipya itaanza Mosi Julai na leo zimebaki week tano tu kufikia tarehe moja mwezi wa saba ili mwaka mpya wa...
Back
Top Bottom