Mwaka wa Fedha 2019/20 Wizara ya Afya ilitumia Tsh. Milioni 257.9 nje ya bajeti

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Ripoti ya Uwajibikaji iliyoandaliwa na Taasisi ya Wajibu imebainisha, kushindwa kutekeleza mipango kwa mujibu wa bajeti kunaongeza uwezekano wa ubadhirifu na vitendo vya rushwa

Imezitaja taasisi 6 ambazo zilitumia fedha Tsh. Bilioni 23.4 nje ya bajeti kwa mwaka 2019/20 ambacho ni kinyume cha Sheria ya Bajeti ya mwaka 2015

Wizara ya Afya ndio iliyotumia fedha nyingi nje ya bajeti ambayo ilitumia Tsh. Milioni 257.9 ikifuatiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu ambayo ilitumia Tsh. Milioni 50.47
 
Back
Top Bottom