Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini.
Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
Anonymous (c723)
Thread
ajira
ajira mpya
buchosa
hela
kilio
kujikimu
mpya
mwakamwaka2025
mwanza
Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo.
Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya...
Anonymous
Thread
bachelor
bachelor degree
chuo
chuo cha mipango
degree
dodoma
kero
kuhusu
mipango
moja
mwakamwaka2025
wanafunzi
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania uliingia kwenye vitabu vya historia si kwa wingi wa Wapiga Kura bali kwa mazingira magumu yaliyozunguka uhuru habari na uhuru wa maoni.
Ibara za 18 na 19 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinatoa uhuru wa wa maoni na habari, lakini...
https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9
Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
GT
Utambulisho wa Muamala: 403*288*. Umetuma TSH 500.00 kwenda M-PESA, jina ALUTE SIMON MUGHWAI namba 255797527876, gharama TSH 10.00, wakati 2025/12/31 17:41:22. Salio lako jipya ni TSH 8*** Ahsante!.
Tunahitaji watanzanoa 600K watakaochangia sh 500 tu kufikia 30M.
Karibuni sana makamanda
Hii wiki nzima nilikua mpweke sababu baba watoto wangu alisafiri na mwaka mpya nilikua nauingia nikiwa peke yangu bila yeye.
Alfajiri hii nashtuka nasikia kama napapaswa kifuani, nafungua macho kuangalia namuona bamjengo, sikutarajia maana aliniambia leo pia ni siku ya kazi kwake na atasafiri...
Katika Dunia hii, mara tu unapojitambua, kuna mambo ambayo mtu yanaweza kukukuta ni vigumu kuamini macho yako kama binadamu mwenzako anaweza kukutendea
Kuna wakati, kwa sababu ya mambo magumu na ya kushangaza ambayo binadamu mwenzako anaweza kukutendea, utakubaliana nami kwamba, moyo na akili...
Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2025 kuna Mambo Mengi Sana Tumepitia Mwaka Huu,Kwa upande wangu kilichonifurahisha sana 2025 ni kuona jinsi uelewa wa Watanzania ulivyoongezeka, watu wanazidi kufunguka katika kudai haki zao na kuelewa kwa kina yanayojiri nchini.
Kilichonihuzunisha sana 2025, kuna...
NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA.
Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa busara na hekima kukaa kimya bila kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mama wa AFRICA kama anavyotambulika...
Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani?
Je zifuatazo ndio Dondoo za hotuba?
1. Taifa Stars Kufuzu AFCON 16 Bora (pongezi...
Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako.
Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.
Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.
Ndiye Rais...
Filamu zangu za mwaka ni;
1. Superman(2025)
Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini.
2. Mickey 17(2025)
Inaelezea vizuri kuhusu thamani ya utu. Inafikirisha kuhusu baadhi ya vitu, inachekesha pia
3. Edge of Tomorrow(2014)...
kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi...
Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara
Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
Salaam!
Huu mwaka 2025 mwanzoni Januari hali niliona itakua vizuri kutokana na jinsi nilivyokuwa napambana na matokeo napata.
Baada ya Januari, oh ni mambo yalikua sivyo kabisa hadi mwaka unakata saivi huku nikitazama notebook yangu ya malengo, naona kote 0.0%.
Kila nilichofanya, hakuna...
Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026.
Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani?
Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.