Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI.
Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022.
Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na ulawiti, kufuatia juhudi mbalimbali za Serikali na wadau kuelimisha jamii.
Akiwasilisha makadirio ya...
IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
Imeelezwa kuwa mwaka 2024 serikali ya Iceland iliweka sheria mpya kutokana na upungufu wa wanaume, ilikuwa inawalipa wahamiaji wa kiume $50,000 kwa mwezi iwapo wakiwaoa wanawake wa nchi hiyo
Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation.
Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet)
Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa
Wengine wapo chuo, dropout
Nimewashuhudia wakiwa...
Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024.
Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp...
Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira.
RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa...
Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu.
Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua ni ongezeko la 96% kulinganisha na watalii laki 9 wa mwaka 2021...
Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp...
Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024
Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku
Story ya kifo Cha marehem ni kwamba alirudi kutoka kazini akiendesha gari lake vzr tuu baadae majira ya saa...
Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 .
"katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold...
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni 18.94 za Marekani.
Katika mwaka uliopita, licha ya changamoto za nje na ndani, China ilifanikiwa...
Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali
Mwanamke wa kwanza;
Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari...
Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo.
kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania.
Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
Wakuu,
Kama ulikula spana 2024 jirekebishe, acha uchawa, ukupe na umaandazi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Ukibisha utakula spana tu😹😹.
Happy New Year watu wazuri wa JF, wengine tushamaliza 25 tunaenda 26😎.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.