Watoto 25,000 wamepotea Barani Afrika, idadi hiyo ni sawa na 40% ya jumla ya idadi ya watu waliopotea mwaka 2022 katika bara zima.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) iliyotangaza katika ukumbusho wa Siku ya Kimataifa ya Waliopotea (Agosti 30).
Hali ya...