Lionel Messi kumpiku Karim Benzema kwenye tuzo ya Ballon d'or mwaka 2022

Championship

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
5,499
10,540
Mara baada ya mechi ya jana kwenye UEFA Cup of Champions (Finalissima) wachezaji wa Argentina walionekana kumbeba Messi na kumrusha juu katikati yao.

Kwa kawaida hili huwa anafanyiwa kocha wa timu kama ikitokea wamebeba kombe. Kitendo hiki kinatafsiriwa kwamba Messi ndiye aliyeibeba timu.

Messi alitoa assist mbili kwenye mchezo huo wa jana na amebeba Lique 1 kwa ngazi ya klabu. Benzema kabeba UCL na Laliga.

Tutarajie Messi kushinda tuzo ya msimu huu kwasababu huwa anapendwa UEFA.
 
CV ya Karim Benzema 2022;

1) Mfungaji bora wa La Liga 2022.

2) Mfungaji bora wa UEFA Champions League 2022.

3) Mshindi wa La Liga Cup 2022.

4) Mshindi wa UEFA Champions League Cup 2022.

5) Goli lake la kwanza Stamford Bridge ndio limechaguliwa kuwa goli bora la UEFA 2022.

6) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ufaransa anaecheza mpira nje ya Ufaransa 2022.

7) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora La Liga mwezi 2022.

8) Mshindi wa UEFA Champions League mara 5 2022.

9) Amechaguliwa kwenye timu ya UEFA 2022.

10) Amechaguliwa kama mshambuliaji bora wa Ulaya 2022.

11) Ameingia katika top 3 ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya UEFA msimu mmoja (15 goals sawa na CR7).

12) Amekuwa mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika UEFA (Top 3).

13) Amekua miongoni mwa wachezaji wenye magoli mengi kwa ujumla katika historia team ya Real Madrid.

Tuzo bado zitaendelea 2022. . . . .
 
CV ya Karim Benzema 2022;

1) Mfungaji bora wa La Liga 2022.

2) Mfungaji bora wa UEFA Champions League 2022.

3) Mshindi wa La Liga Cup 2022.

4) Mshindi wa UEFA Champions League Cup 2022.

5) Goli lake la kwanza Stamford Bridge ndio limechaguliwa kuwa goli bora la UEFA 2022.

6) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ufaransa anaecheza mpira nje ya Ufaransa 2022.

7) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora La Liga mwezi 2022.

8) Mshindi wa UEFA Champions League mara 5 2022.

9) Amechaguliwa kwenye timu ya UEFA 2022.

10) Amechaguliwa kama mshambuliaji bora wa Ulaya 2022.

11) Ameingia katika top 3 ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya UEFA msimu mmoja (15 goals sawa na CR7).

12) Amekuwa mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika UEFA (Top 3).

13) Amekua mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika historia team ya Real Madrid.

Tuzo bado zitaendelea 2022. . . . .
Asipochuka benzima kwa hii CV basi tena asahau maana vizazi vya sahivi vinajua mpira ubunifu na akili nyingi, ushindani wasasa ni mkubwa sana kwenye ubora wa wachezaji
 
Namba 13 fafanua with vivid example.
 
Asipochuka benzima kwa hii CV basi tena asahau maana vizazi vya sahivi vinajua mpira ubunifu na akili nyingi, ushindani wasasa ni mkubwa sana kwenye ubora wa wachezaji
kwingine kote sawa ila shida ni hapo kwenye "vizazi vya sasa hivi"
 
CV ya Karim Benzema 2022;

1) Mfungaji bora wa La Liga 2022.

2) Mfungaji bora wa UEFA Champions League 2022.

3) Mshindi wa La Liga Cup 2022.

4) Mshindi wa UEFA Champions League Cup 2022.

5) Goli lake la kwanza Stamford Bridge ndio limechaguliwa kuwa goli bora la UEFA 2022.

6) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ufaransa anaecheza mpira nje ya Ufaransa 2022.

7) Ametwaa tuzo ya mchezaji bora La Liga mwezi 2022.

8) Mshindi wa UEFA Champions League mara 5 2022.

9) Amechaguliwa kwenye timu ya UEFA 2022.

10) Amechaguliwa kama mshambuliaji bora wa Ulaya 2022.

11) Ameingia katika top 3 ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani ya UEFA msimu mmoja (15 goals sawa na CR7).

12) Amekuwa mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika UEFA (Top 3).

13) Amekua mchezaji mwenye magoli mengi kwa ujumla katika historia team ya Real Madrid.

Tuzo bado zitaendelea 2022. . . . .
Kwakutumia kigezo namba 8 basi Messi ndio anastahili.

6, 7 na 13 ni vigezo?

Vingine umerudiarudia tu vya UEFA hapo mara kafunga kama ronaldo mara sijui top 3 mara hivi mara vile..🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom