Mfumo wa mauzo kwenye biashara yako

Mijicho

JF-Expert Member
Jan 20, 2009
280
212
Habari watu wote,

Kwa mara nyingine tena naomba kwa heshima na taadhima,niwaletee offer ya msimu wa sikukuu.

Tunawaletea mfumo wa kufanya mauzo kwenye biashara yako mfano supermarket,Pharmacy kwa bei ya punguzo la mwaka hususani kipindi hichi cha msimu wa sikukuu.

Mfumo wetu kiufupi utakuruhusu kufanya
1.Mauzo kwa mteja
2.Manunuzi ya bidhaa zako kwenda kwenye store
3.Matumizi mbalimbali katika biashara yako
4.Ripoti za faida na hasara
5.Ripoti za mauzo
6.Matumizi ya barcode scanner kwa ajili
7.Mfumo wa uangalizi wa stock yako
na kadhalika

Bei kwa sasa tunafanya 700,000 ya kitanzania.

Gharama haijumuishi mahitaji ya msingi kama:

Kompyute
Risiti Printa
Bar code Scanner

Karibuni njoo dm kwa mawasiliano

M
 
hii unalipa mara moja tu mkubwa , na sio kila mwezi.

So ukiangalia hapo nani anayelipa zaidi

M
 
Back
Top Bottom