mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Iatachukua karibu mwaka mmoja kurekebisha daraja la Crimea

    Hili daraja ndio hutumika sana kusafirisha mahitaji ya kijeshi, ila baada ya kipigo cha wana, itachukua karibia mwaka mmoja kulirekebisha irudi kwenye hali yake ya kawaida. Na bado litaliwa timing nyingine wakati wanapambana kulirekebisha..... Russia's government has ordered contractors to...
  2. T

    Mwaka juzi 2020 zaidi 90% ya wanafunzi wa Law School of Kenya walifeli, mitihani, uchunguzi ukaonyesha LSK ndio wenye makosa

    Hii sakata la wanafunzi wa Law School of Tanzania kushindwa kufaulu mitihani kwa kiwango kikubwa hivi imenikumbusha sakata kama hilo kwa LSK kwa mwaka 2020 ambapo zaidi ya 90% ya wanafunzi wali fail. Baada ya matokeo kutoka na malalamiko kua makubwa, Serikali ikaamuru uchunguzi ufanyike na...
  3. PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  4. Namshukuru Mungu, haya ndiyo mafanikio makubwa kabisa niliyoyapata mwaka huu

    Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika. Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako. Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto...
  5. Ripoti IMF: Uchumi wa dunia utashuka hadi 3.2% mwaka 2022 na 2.7% 2023

    Uchumi wa dunia unaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa, zikichangiwa na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, mzozo wa gharama za maisha unaosababishwa na shinikizo la kuendelea na linalozidi kupanuka la mfumuko wa bei, na kushuka kwa kasi nchini China. Utabiri uliofanywa na Shirika la Fedha la...
  6. Watoto wa kiume 1,114 walilawitiwa mwaka 2021

    Waziri wa maendeleo ya Jamii wanawake na makundi maalum Dkt Dorothy Gwajima amesema katika kipindi cha mwaka jana pekee watoto wa kiume wapatao 1,114 wamelawitiwa ambapo ni sawa na wastani wa watoto 93 wa kiume wanafanyiwa ukatili huo kila mwezi. Waziri Gwajima ametoa takwimu hizo Leo jijini...
  7. Kutana na takwimu za vifo kwa mwaka 2022 pamoja na siku ya leo

    HEALTH 10,040,329 Communicable disease deaths this year 386,203 Seasonal flu deaths this year 5,878,813 Deaths of children under 5 this year 33,071,878 Abortions this year 239,055 Deaths of mothers during birth this year 44,005,025 HIV/AIDS infected people 1,300,169 Deaths caused by HIV/AIDS...
  8. R

    Nactevet toeni matokeo ya mitihani vijana wajue fate yao, wazazi wajiandae na ada za mwaka 2022/2023 (vyuo vinafunguliwa 17/10/22)

    Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
  9. Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

    Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
  10. Kikwete: Mwaka 95 walinishauri tuunde chama, nikawaambia hatutakuwa registered na Serikali

    Rais wa awamu ya nne leo akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM kwenye kutimiza miaka 72 tangu aje duniani, ameongelea uchaguzi wa ndani ya chama cha CCM mwaka 1995. Kikwete amesema baada ya Benjamin Mkapa kuteuliwa na CCM, watu waliokuwa upande wa Jakaya Kikwete walipandwa na Jazba akiwemo...
  11. Visa vya Saratani ya Ini Kuongezeka kwa asilimia 55 ifikapo mwaka 2040

    Idadi ya watu wanaougua au kufariki kwa ugonjwa wa saratani ya Ini wataongezeka kwa hadi zaidi ya asilimia 55 ya kiwango cha sasa ifikapo mwaka 2040 iwapo jitihada za haraka hazitafanyika kuikabili changamoto hii. Watu 905,700 walibainika kuwa na ugonjwa huu mwaka 2020 pekee huku wengine...
  12. Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  13. Movie ya LOU ya mwaka 2022

    Mzuka wanajamvi? Sina mengi ila nilitaka kushare haka kataarifa kafupi niliko nako kuhusu hii movie ya Action, Crime na Drama. Kuna yule mtoto katika hii filamu anatumia jina la Vee ambaye mama yake ni Hannah, ebana kumbe huyu dogo Vee mama yake halisi ni mbongo namaanisha ni mtanzania...
  14. Fatma Fihri mwanamke wa kwanza kuanzisha elimu ya Chuo Kikuu duniani mwaka 800

    Kiasi kwamba ilimvutia pope Sylvester Ii, kwenda kuanzisha kuwafundisha uandishi wa lugha ya kiarabu ndani ya chuo hicho. Fatima al-Fihri: Founder of World’s Very First University. The name Fatima Al-Fihri crowns the annals of history with the distinction of having established the world’s...
  15. Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

    Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi...
  16. Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz. Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
  17. Chifu Mwakatumbula wa Wanyakusa akabidhiwa Ikulu ya kichifu leo...Imejengwa mwaka 1900

    Katika kutekeleza adhima ya Mhe Rais Samia Suluh Hassan ambaye ni kiongozi wa machifu nchini Chifu 'Hangaya' ya kuuhuisha kuendeleza tamaduni za kichifu nchini, Hatimaye Chifu wa kabila la Wanyakyusa ,Chifu Edwin Mwakatumbula leo amekabidhiwa Ikulu yake ya Kichifu na kiongozi wa machifu wadogo...
  18. Ushauri: Watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja wasipewe Asali

    Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum. Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga za mwili hasa kwenye utumbo huwa bado ni dhaifu. Wanaweza kukaa humo...
  19. Watoto Wachanga 44,000 hufariki kila mwaka

    Takwimu hizo ni za Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto na Wanawake (UNICEF) za mwaka 2018. Mratibu wa Afya ya Watoto, Dkt. Felix Mabula amesema 80% ya vifo inatokana na shida ya kupumua, kuzaliwa njiti na kupata maambukizi (infections) mara baada ya kuzaliwa. Naye, Mganga Mfawidhi...
  20. Kwa mauaji yanayotokea vituo vya polisi kama vile polisi wamegeuka serial killers

    Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria. Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa kujinyonga selo za polisi katika mazingira ambayo tafakuri ikifanyika watu hawapati majibu. Tukio la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…