Paschal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga heri ya Christmas na mwaka mpya

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
822
Merry Christmas and happy new year,

Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao.

Naomba mungu mwakani bwana pascal mayala aweze kuteuliwa hata mkuu wa wilaya au cheo chochote cha siasa.

"Pascal, Lumumbashi na Gaganiga merry Christmas and happy new year"
 
MMkuu Miss mia, asante sana.
Naomba mungu mwakani bwana pascal mayala aweze kuteuliwa hata mkuu wa wilaya au cheo chochote cha siasa.
Asante kuniombea uteuzi, ila pia kuna type mbalimbali za watu, wengine wakiteuliwa, wanafanya kazi nzuri, kama Mama Samia, lakini kuna wengine kuteuliwa kuwa DC, is a waste!. Mimi naitafuta 60!, issues za kuwa DC sio type yangu na hili nimelizungumza mara nyingi humu!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
"Pascal, Lumumbashi na Gaganiga merry Christmas and happy new year"
Miss Mia asante,
Happy New Year!.
P
 
Back
Top Bottom