mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Weka pembeni pilau na biriani, nipike nini siku ya Chrismas na mwaka mpya siku iwe pambe?

    Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya. Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani, Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya...
  2. Data za mwaka 2021, Tanzania na mataifa mengine zikionesha kiwango cha nishati ya umeme kilichozalishwa kwa mwaka Tanzania ina kipi cha kujifunza?

    Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka. Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
  3. Maliza mwaka na Ramani ya nyumba yako

    Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664. Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
  4. Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  5. Utaje ni wimbo kutoka kwa members wa JF ambao unafunga mwaka 2022 -2023

    Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri.. Majukwaa yote Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi twendeeeeeee ENTERTAINMENT mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi mengi zaidi yatayotakayopatikana au itakayogota saa 00.00(saa 6 kamili usiku) tar 01 /01/2023 zawadi...
  6. Ripoti: Askari 6 wa Uhifadhi wameuawa kwa kushambuliwa na Wananchi Mwaka 2022

    Jeshi la Uhifadhi la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba, 2022, limepoteza askari sita kwa kuuawa baada ya kushambuliwa na wananchi nyakati tofauti, wakiwa wanatekeleza majukumu yao ya uhifadhi. Kamishna wa Uhifadhi TFS, Profesa Dos Santos...
  7. Rais wa Msumbiji afuta Bonus ya mshahara wa mwisho wa mwaka kwa wafanyakazi

    Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee. Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
  8. Msaada: Ripoti ya mwaka ya Asasi zisizo za kiserikali (NGO’s)

    Wasalaam, Wakuu kwa wale wenye uzoefu wa masuala haya, mwanzoni wa mwaka jana tulifanikiwa kusajili NGO yetu wizarani, na kwa bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukufanikiwa kufanya shughuli yoyote ya taasisi kwa mwaka mzima ikiwa ni malengo yetu kwa mwaka ujao kuwa active...
  9. Ni zaidi ya mwaka sasa tukiwa na kodi ya uzalendo

    Nimemaliza kusoma andiko lililochapisha Review of African Political Economy likizungumzia Tanzania's Solidarity Tax, yaani kodi ya uzalendo ambayo ilianzishwa mwaka 2021 robo ya tatu. Mtafiti katika andiko hilo ameweka sababu nyingi ya kuwa Tanzania haihitaji kuwa na tozo ya uzalendo, zifuatazo...
  10. L

    Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

    Ndugu zangu Ni kwa Mara nyingine Tena tukiwa tunaelekea kuumaliza Mwaka tunashuhudia Rais wetu mpendwa mama wa Shoka, Jasiri, shupavu, imara, madhubuti, mwenye msimamo usiyoyumba,mcha Mungu, mzalendo, mpenda nchi yake, na mwenye maono ya Mbali Mama Samia Suluhu Hassan akilibeba Taifa letu katika...
  11. Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

    "Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo," Suluhu Samia. Tunachojua...
  12. BBC wampa Messi tuzo yao ya mwaka huu 2022

    Messi anaendelea kunyakua kila tuzo inayopita mbele yake. BBC nao wamempatia ya mwaka huu. Ballon d'or ya nane iko njiani.
  13. Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

    Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
  14. Kikao cha wanaume cha kufunga mwaka

    Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi ya mmoja na kila mtoto na mama yake, wanaolaumiwa kuwaacha wapenzi wao na kuibuka na vifaa vipya na...
  15. Luka Modric apewe Ballon d'Or za mwaka 2014 na 2017 badala ya Cristiano Ronaldo

    Hizi tuzo zilitolewa kwa kuangalia mshindi wa UEFA Champions League (UCL). Ni dhahiri kwamba mchango wa Modric ni muhimu na wakipekee. Kama asingekuwepo Modric wala Real Madrid wasingeshinda hayo makombe. Huyu Modric aliweza kufikia nafasi ya pili (2018) na nafasi ya tatu (2022) Kombe la Dunia...
  16. I

    Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

    Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki. Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
  17. Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

    Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani. Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
  18. M

    Ni aibu ya mwaka, Mchambuzi wa kombe la dunia TBC adai golikipa wa Argentina anadakia pia timu ya Sevilla

    Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania. Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui...
  19. DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

    Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti? TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari. Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
  20. E

    Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

    NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…