mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Maswali kuntu kwa Wenye viapo vya Kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

    Jana katika kikao chao na Waandishi wa Habari, Mawakili wa Tundu Antipass Lissu anayetuhumiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi waliutaarifu Umma wa Watanzania rasmi kuwa Tundu Lissu aliyepo gereza la ukonga; 1. Amezuiliwa kufanya sala kwa mujibu wa dini yake ya Ukatoliki ikiwemo kushiriki...
  2. Kenya: Visa 700,000 vya utoaji mimba vinaripotiwa kwa Mwaka, kati ya hivyo 80% vinawahusu Wanandoa

    Ripoti ya Wizara ya Afya kwa ushirikiano wa African Population and Health Research Centre (APHRC) na Taasisi ya Guttmacher imeeleza kuwa kati ya Aprili 2023 na Mei 2024, zaidi ya visa 792,000 vya utoaji mimba vimeripotiwa Nchini Kenya. Ripoti imeeleza namba hiyo ni sawa na wastani wa visa 57.3...
  3. Saudi Arabia imechinja watu 100 mwaka huu, magaidi na wauza unga

    Sikudhani kuna siku nitakubaliana na muarabu kwenye chochote, tangu walipoharibu dunia na uzombi wa kidini, ila naona vizazi vya leo vya muarabu wako makini kwenye kurekebisha mauchafu yalioachwa na mababu zao, ukituhumiwa ugaidi unachinjwa moja kwa moja, hawatanii..... Hii iwafikie Waafrika...
  4. PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  5. Enyi Watanzania Mna uhakika Mwaka Huu 2025 Kuna Uchaguzi?

    GT Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana. Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo. Hapa ndo naikumbuka kauli ya...
  6. Asilimia 2.07% ya waarabu wameshinda tuzo ya Nobel Duniani toka mwaka 1901 mpaka 2025. Pongezi kubwa kwao

    Hadi mwaka 2024, zaidi ya Waarabu 20 wamepokea Tuzo ya Nobel katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amani, fasihi, na sayansi. Hii ni idadi ndogo ikilinganishwa na Wayahudi, ambao wamepokea zaidi ya tuzo 200, licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu duniani. Washindi Mashuhuri wa Tuzo ya...
  7. D

    WAKONGWE WA DISCO: Bosco Cool J alifariki mwaka 2018. Mlipata taarifa??

    https://www.youtube.com/watch?v=YW3ri4d3HQc
  8. S

    Mpasuko na mgawanyiko wa kutisha wa CCM umewadia mwaka huu

    Hayawi hayawi sasa yamekua ilikuwa usiku,sasa imekua mchana,ilikuwa jana sasa imekuwa leo ,CCM muda wake umewadia wa kusambaratika vipande vipande kupitia viashiria vifuatavyo: 1. Migogoro ya ndani ya chama (internal wrangles) Viongozi kugawanyika waziwazi mbele ya umma. Kauli zinazokinzana...
  9. G

    Nyamhokya: Kwa kuwa rais Samia umetusaidia sana, "sisi watumishi tutasimama nawe ktk jambo lako mwaka huu".

    Nyamhokya apuuzwe. Nyamhokya ni kada. Nyamhokya ni chawa.. Nyamhokya anafanyakazi ya Makalla kwenye Mei Mosi.
  10. Zijue nchi tajiri za Kiafrika mwaka 2025

    Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika. BBC swahili news
  11. Serikali imeshinda kesi 352 mwaka 2024/25

    SERIKALI IMESHINDA KESI 352 MWAKA 2024/25 Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025, Kesi 867 ziliendeshwa mahakamani zikiwemo kesi mpya 461. Kati ya kesi mpya zilizofunguliwa mahakamani, 10 ni kesi kubwa ambazo zilifunguliwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya...
  12. Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

    Mabibi na Mabwana hamjambo! Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club. Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
  13. Bahati ya mwaka, nyumba inauzwa

    Habari wana JF. Milioni 18 tu unapata nyumba ya vyumba 3 na sebure maji yapo umeme ni kuvuta tu . Location ni Saku mwisho karibu na mwanagati Dar es salaam HAKUNA UDALALI. Hivyo basi. ∆ Kama ukipangisha ✓ ∆ Kama utageuza kuwa sehemu ya ufugaji ✓. ∆ Kama utahitaji kuishi ✓...
  14. MAGA wa Marekani mwaka 1939 walipinga vita kama sasa hivi.

    Walipinga Marekani kuisadia Uingereza na mataifa mengine ya ulaya dhidi ya vita vya Adolf Hitler, watu wajinga wa hovyo wamekuwepo duniani nyakati zote ila wingi wao tu ndio huwa unabadilika.
  15. Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  16. CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  17. U

    Afrika kama Ulaya mwaka 2070

    Kabla ya haya mambo ya smartphone, vijana wa kipindi hicho wapenda mambo ya siasa na mambo ya dunia tulikuwa hatubanduki DW Swahili, BBC Swahili na VOA. Nakumbuka Jumamosi moja hivi miaka ya 2000-2005 (Nimesahau mwaka kamili, nakumbuka tu nilikuwa sekondari). Siku hiyo nilikuwa nasikiliza dira...
  18. Sikukuu ilikuwa April 21, Mh Rais akatoa agizo kuwa mishahara ilipwe kuanzia April 14 2023 na ikawezekana vipi Pasaka mwaka huu, wamelipwa?

    Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
  19. Kisasi cha Simba kutolewa na Stellen Abidjan ya Ivory Coast mwaka 1993 kwenye fainali ya shirikisho

    Hapo vip!! Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025. Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti. Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majina tofauti tofauti kwa kila msimu...
  20. Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…