mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo muhimu ya kumdai Rais Samia kwa mwaka 2025-2030

    Hii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29. Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo atachaguliwa kushika kiti adhimu cha Urais mwaka 2025 hadi 2030. Ni wazi na bila shaka watanzania...
  2. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, leo Agosti 11, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi. Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
  4. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Mtoki (Swollen lymph nodes) kujirudia kila mwaka

    Nina hili tatizo la muda mrefu la kurudia kwa mtoki wenye maumivu makali karibu kila mwaka. Kuna wakati nashindwa hata kutembea maana umekaa sehemu mbaya. Nikibonyeza naushika ila uko kwa ndani na ni kama jipu gumu linalouma kwa ndani. Sina ugonjwa wowote wa zinaa wala maambukizi ya VVU. Na...
  5. nyocksie

    JamiiForums Tanzania Je! Bei ya gesi ikoje mtaani kwenu baada ya kupita Kwa bajeti mpya Kwa Mwaka 2025/2026?

    Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  7. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Simba Yashika Nafasi ya 05 kwa Ubora Yanga Wakiwa 12 Kwa Mwaka 2025

    Klabu ya Simba SC imeshika nafasi ya tano kwenye orodha ya vilabu bora Barani Afrika kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF). Simba SC wamekusanya jumla ya alama 48, wakizidi vilabu vikubwa kama Pyramids FC, Wydad Athletic Club na Zamalek SC ambavyo...
  8. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukweli ulio mchungu: Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani mwaka huu ndio unakamilika siku ya leo kwa asilimia karibu ya 98%.

    Wanabodi, Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao kwa miaka mitano ijayo. Ama kweli SIASA si HASA.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  10. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  12. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Kila mtu Tanga anamiliki TZS3,204,244 kwa mwaka

    === Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sajili domain yako ya .com sasa kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka.

    Tunakuletea ofa ya kipekee – .COM kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka! Anza safari yako ya mtandaoni leo. Iwe ni kwa biashara, blogu au jina lako binafsi – jina sahihi la domain linakupa hadhi mtandaoni. Usikose nafasi hii, ofa ni ya muda mfupi tu! Tembelea www.jamiisoft.com au tupigie kwa maelezo...
  14. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Huduma za Baraza la Famasi kwa Mwaka 2024/25

    Tunaomba ujaze dodoso ili tupate maoni kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Baraza.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris atangaza kutogombea nafasi ya Ugavana wa California uchaguzi ujao

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Kamala Harris, ametangaza kuwa hatagombea nafasi ya Ugavana wa California, akivunja uvumi uliokuwa ukienea kwamba huenda akawania nafasi hiyo yenye ushawishi mkubwa Harris amesema amefanya tafakari ya kina kuhusu suala hilo na...
  16. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
  17. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
  18. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe ni WATU NA NUSU. Hatima ya utawala bora iko mikononi mwenu kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu (Upande wa CCM)

    Ni nani wajumbe hao? Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani. CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

    Habari wadau, Naulizia, hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank NMB na CRDB kwa mwaka riba yake ni kiasi gani?
  20. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mwaka huu hauna mvutooo

    Wanajumuia . Salamu kwenuu Leo nimetafakari sanaa. Lkn mwisho wa siku nikagundua UCHAGUZI WA MWAKA HUU HAUNA MVUTOO KABISAAA . NAONA TUME INAFANYA TUU ILIKUFATA UTARATIBU NA MAELEKEZOO. HUKO CCM UNAONA WENYE MAAMUZI WENYEWE HAWANA NURU WAPO TUU WAMEPOWA KAMA PIRITON WAPO TUU KUTIMIZA WAJIBU
Back
Top Bottom