"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Wakati Jeshi la Polisi nchini likitangaza msamaha wa miezi mwili wa kutoshtakiwa kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume, imebainika kuwa misamaha hiyo imekuwa ikitolewa mara kwa mara kiasi cha kuibua hoja ya usalama wa wananchi ikiwa watu hao wanajimilikisha silaha na baadaye kupata misamaha...
Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule
Si haba miaka hiyo nina kausafiri kangu kama mnazifahamu Toyota Baloon. (Kama sasa vijana wanavyohangaika na Toyota...
Ukiweza kufungua code za namba zako za tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa umetoboa Lifetime. Siri hii niliipata kwenye vitabu vya dini ya wayahudi (Judaism) japo washirikina huitumia pia kwenye kuvuruga na kubadilisha sequence ya namba hizo kwa mtu wanayemtarget. CODE.
Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu
Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone
Xiaomi 16 na Xiaomi 16 Pro zitakuwa na vioo vyenye ukubwa sawa na Xiaomi 16 Pro Max itakuwa kubwa zaidi...
Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika.
Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi.
Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo.
Pole Sana Aminata Elimu yako haijakukomboa .
Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.?
Simba yenyewe inaendelea kujivinjari nafasi za juu Ranking za CAF Kwa Ubora wa Kusakata Kabumbu barani Afrika, wakati fulani...
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.
Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
Habari Wana Sports,
Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu.
Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE.
Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...
Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80 alichukua madaraka mwaka 1986 na tangu hapo ameshinda chaguzi zote baada ya kuondoa ukomo wa mihula...
Habari zenu wanaJF wenzang
Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu.
Kama una taarifa, una...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu ni kwamba juhudi hizi zikifanyika zitatusaidia kuongeza idadi ya Watalii na kuitangaza Tanzania.....''
Nilichojifunza 2025
Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu!
2026 Resolutions
Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili katika kutafuta, fursa zipo tusikalie kulalamika tu, Adui wa mafanikio yako ni wewe!
Hili ni swali kwa wajuvi wa sheria je takwa hili la wagombea kuhakikisha kwamba wana wazunguka na kupata wadhamini kwa nafasi za urais kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani halipo tena?
Au wadhamini wanaweza kupigiwa simu na kusaini kwa mfumo wa kidijitali?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.