mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu hakukua na mkono wa chrismass wala salamu za chrismass: Tamaduni zimekiukwa?

    Chrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje 1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass 2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass 3. Siku ya chrismass umoja wa makanisa ya kikiristo, Roma uandaa misa ya kitaifa ambapo mara nyingi katika Misa hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

    Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang. Kila mtanzania...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

    Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu. Je, umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa? Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasali kimya kimya?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kimaisha Kati ya krismas ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita?

    Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
  5. JamiiForums Tanzania HEKO: mama ameupiga mwingi , sikukuu ya mwaka huu imekuwa na shamra shamra bidhaa zinauzika kweli kweli!

    Pamoja na bidhaa kuwa juu, Kama vile mafuta, sukari, n.k Vile vile Tozo na kodi nyingi, Bado sikukuu ya mwaka huu inaweza kuwa ya kipekee kulinganisha na zamani za pontio pilato, Watu wamesafiri sana, Bidhaa zimenunuliwa na kuuzwa sana, Basi tumpongeze! Kisha tumsihi aboreshe yaliyosalia...
  6. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kufungia mwaka 2021 na kuufungua mwaka 2022

    UJUMBE WA KUFUNGIA 2021 NA KUFUNGUA MWAKA 2022; MHESHIMU MUNGU KWA MALI ZAKO. Anaandika Robert Heriel. Mungu humdharau mwenye Dharau, humheshimu mwenye kumuheshimu. Tunapoelekea kuufunga mwaka 2021 na kuulaki Kwa furaha mwaka 2022 ujumbe huu utakuwa muhimu katika maisha yako. Ujumbe huu...
  7. JamiiForums Tanzania Ibrah ndio msanii bora underground mwaka huu, je kwako ni yupi?

    habari ndugu. Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana, Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

    Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako. Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja kwanza. Nikafungua Microsoft Word Document Nikaanza kuangalia Pesa niliyoiweka kwenye Investments...
  9. JamiiForums Tanzania Wizi wa kura wa mwaka 2019 na 2020 umesabisha CCM kichukiwe sana

    Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini. TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki. Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021 1. JPM 2. Bakari Mwakapachu 3. Prof Mathew Luhanga 4. Zakaria Hanspope 5. Asas 6. Haruni Zakaria 7. Summry 8. ....
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi Wamisri wa kale walivyogundua kuwa mwaka una siku 365

    Hawa wamisri wa kale ndiyo watu walioleta ustaarabu tunaouona duniani leo hii. Wagiriki walijifunza ustaarabu kutoka Misri ya kale. Moja ya mambo waliyogundua ni kuwa mwaka una siku 365. Waligundua namna hii. Ukichunguza jua kwa mwaka mzima utaona kuwa sehemu linakichomoza na kuzama hubadilika...
  13. JamiiForums Tanzania Ajali za kufunga mwaka na kufungua mwaka uacha makovu makubwa ya moyo na nafsi kwa watoto.

    Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

    Ni mwisho wa mwaka. Kama kawaida tushirikishane vitabu tulivyosoma mwaka huu. Inasaidia kujua vitabu vizuri na kushirikishana maarifa. Mi nimesoma vitabu vifuatavyo, baadhi vilipendekezwa na members humu JF. 1. Bad Samaritans. Kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo mataifa tajiri yanavyoshauri...
  15. JamiiForums Tanzania Japo tumechelewa serikali ipige marufuku safari za mwisho wa mwaka kwa hali ilivyo sasa

    Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa. Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron. Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli thabiti ya kufungia mwaka

  17. JamiiForums Tanzania Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

    Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu atakuwa upande wake. Atampa tuzo kupitia mateso anayopata Kama lengo lake NI Democrasia ya kweli na sio...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

    Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake wamempata Desemba 12, 2021 akiwa amekatwa mishipa ya ulimi na hawezi kuongea.
  19. JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufanya hii 'project' kwa mwaka 2022

    Kauli mbiu ni kufanya uzalishaji vijijini, na kuleta mauzo mjini. Kwa yeyote atakayependa wazo langu, anaruhusiwa kulitekeleza; elimu haina mwisho. Nitaanza hivi:- Nitafungua kampuni yenye jina 'Equation x agricultural adventure' Nitatafuta binti wa kazi mpambanaji kweli kweli mwenye cheti cha...
  20. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mwanamke huyu 'aliyejiua' baada ya 'Kufumaniwa' Mubashara na Mumewe ndiyo Shujaa wangu wa Kufungia Mwaka 2021

    Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako. Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…