mwaka 2020

Joel Mwaka (born March 16, 1960) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Chilonwa in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kwa Matokeo ya uchaguzi wa leo Marekani, naamini kuwa mwaka 2020 Trump aliibiwa kura zake kama alivyodai

    Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo: 2008: Obama alipata kura milioni 69 2012: Obama alipata kura milioni 65 2016: Hillary alipata kura milioni 65 2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81 2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66 Hii ya Joe...
  2. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Tsh. 10,000 ilinunua Petroli lita 5.3, leo Oktoba unaondoka na Lita 3 tu za Mafuta kituoni

    Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Marehemu Sauli na Dereva wa lori kilichotokea mwaka 2020

    Ukitaja kufanikiwa kibiashara jitofautishe na wenzako kwa kufanya tofauti lakini bora Mabasi ya Sauli yalijitifautisha kwa kutopoteza muda kizembe barabarani ....TIME MANAGEMENT !!! Solomon Sauli hatunaye amefariki ajalini na ameshazikwa kijijini kwao. Mwamba hakufa kizembe,wake watatu na...
  4. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba “A”?

    Habari za asubuhi wana jamvi, bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Najua wengi mtakua mashuhuda wa mada tajwa hapo juu. Binafsi ni zaidi ya mara moja nakutana na gari new model kabisa, mfano leo nimekutana na Prado 2020 lakini chaajabu plate namba yake inasoma A...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimkataa Mangungu mwaka 2020 na akakata jina lake licha ya kushinda kura za maoni, sisi Simba ndio tukamuona anafaa na sasa tunalia

    Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale. Baadae...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Huu ni wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Je, hili Jimbo nani aliibuka mshindi?

    Angalia hii video ukifika mwisho tushauriane on-line.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

    Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli, ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye. Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na Magufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020, ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha...
  9. smarte_r

    JamiiForums Tanzania Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

    Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa. Ukiondoa faida...
  10. Championship

    JamiiForums Tanzania Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

    Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika? Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita? Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa leseni ya utafiti wa madini pl/6973/2011 iliyokwisha muda mwaka 2020, baada ya agizo la Doto Biteko kupuuzwa

    Wananachi wa Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kwa ujumla wao, wakishirikiana na wachimbaji wa madini wadogo wanaomba Mh Waziri wa Madini kupitia Tume ya Madini , kuifuta leseni ya utafiti PL 6973/2011 inayomilikiwa na kampuni ya Dondoro Minerals Limited. Leseni hiyo ya utafiti...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Scotland apoteza ubunge baada ya kuvunja masharti ya kuzuia maamukizi ya Covid-19 mwaka 2020

    Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa. Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test. Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo, alikwenda Kanisani na kusoma somo. Baadaye alikwenda kwenye kilabu cha pombe. Siku iliyofuata...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM Jimbo la Hai, washindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao tangu mwaka 2020 hadi sasa.

    Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao. Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na...
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu. Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekutwa amefariki Marekani mwaka 2020 abainika alikuwa Mtanzania

    Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita. Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo ulikuwa wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa ni Mtanzania aliyekuwa masomoni nchini Marekani...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi

    Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje. Baadhi ya sera kuu ni pamoja na: Marufuku ya uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa nchini: Mwaka 2020, Rais Magufuli alipiga marufuku uingizaji wa bidhaa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Kikwete ambaye 'comfortably' ameweza kuwakutanisha 'mahasimu' Odinga na Ruto, ila mwaka 2020 alishindwa kuwakutanisha Magufuli na Lissu

    Halafu wenye akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna mtu bali kuna Profesa wa unafiki Tanzania nzima mnasema tuna chuki nae binafsi, tunatumika au ni wadini na wakabila. Mliokuwa wavivu wa kufikiri na mnaompenda mnamuita mwamba wa siasa na diplomasia. Hivi inaingia akili mwamba na bingwa wa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo aliepotea Mbeya tangu 2020 anaedhaniwa aliibwa imebainika yupo Songwe kupitia group la Facebook, wazazi wapo kwenye harakati kumrudisha

    Ilikuwa ni tarehe 21-11-2020 siku ya Jumamos ambapo mtoto Nassir Jumanne mande mwangopola alipotea Chunya mjini, moja ya wilaya ya Mbeya. Wazazi wa mtoto, baba yake Jumanne Mwangopola na mama yake Shamimu Shabani walifanya jitihada kubwa kumtafuta lakini jitihada hazikuzaa matunda. Leo hii...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwaka 2020 Hayati Magufuli aliamua kufanya uchafuzi badala ya uchaguzi?

    Swali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu. Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele? Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake. Halafu kama ni hivyo na baada ya CHADEMA kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

    Picha: Joseph Selasini Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena" Joseph...
Back
Top Bottom