mwafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho Mwafrika alichobobea. Mambo ya kufirika fikirika. Leo atagundua Kiboko ya wachawi ni tapeli kesho anaenda kwa kiboko ya majini

    Maisha yaendelee...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimegundua demokrasia haikuundwa kwa ajili ya Mwafrika

    Mtu mweusi ni mkaidi sana. Mpe uhuru, ajipatie nafasi ya kubania wengine uhuru. Mpe mamlaka, ajipatie nafasi ya kutajirika haraka. Mwafrika katika harakati analalamika kuhusu njaa na tabu, akipata ugali, anawaita wenye njaa ni washamba na wavivu. Mwafrika hugeuza cheo kuwa kampuni, Mwafrika...
  3. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Asili na mila za mwafrika ni zipi?

    wasalaam ndugu zangu Niende moja kwa moja kwenye mada :Je, ni ipi asili au mila za mwafrika ? Kumekuwa na maneno utasikia ''sisi tuna mila zetu '' ''Tuna tamaduni zetu kabla ya kuja wakoloni " Hayo maneno hapo ni ya kinafiki na kipumbavu kabisa ,hakuna mila wala tamaduni za mwafrika kwa sababu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatuna kisingizio cha maendeleo yetu duni, Mwafrika ana tamaa, mbinafsi na akishiba hamjui mwenye njaa,

    Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama, uchumi upo vizuri, n.k. Ni kwamba kwao mambo yakiwa mazuri hawana motivation ya kusaidia wengine wenye...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mwafrika wa Kwanza kushinda Medali ya Dhahabu Mbio za 200 kwa Wanaume Olympics 2024

    Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024. Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani” Alifanikiwa kushinda...
  6. Brex2

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kuwa Mwafrika, kitu gani kingine unakichukia?

    Habari za humu wana JF, Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi imelaaniwa. Binafsi nakubaliana nao Kwa uafrika nina uchukia ila sio ngozi yeyote nyeusi imelaaniwa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtanzania hajawahi kumpenda Mtanzania mwenzake. Ushahidi huu hapa chini

    1. Ni nani aliidhinisha kampuni za bahati nasibu nchini zije zikusanye billions of money kwa Watanzania na kuacha pesa ndogo kwa jina la kodi? Jibu ni Mtanzania. 2. Ni nani ametoa kibali na ni nani anazifanyia matangazo kampuni za mikopo ya kihuni na kitapeli mitandaoni? Jibu ni Mtanzania. 3...
  8. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wanaamini mtu mweusi ni mbabaishaji na asiye na uwezo? Tatizo nini wakuu?

    Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa dilidili za hapa na pale za kimjinimjini yaani almradi bora liende weengi...
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Zijue asili za Waafrika, Wachina, Wazungu na Waarabu

    HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes zetu za chimbuko la mababu zetu zote...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mwafrika ndiye toleo la mwisho kwenye ghala la uumbaji

    Mimi nalala, ngoja nikate hangover ya night shift. Video inajieleza 👇👇
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lipi jema kwa Mswahili / Mwafrika kati ya Kuchagua Kuishi maisha ya Kujitenga nao waseme Unaringa au Kujichanganya nao Wakuzoee na waanze Kukudharau?

    Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
  12. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Mahari inapaswa kupigwa marufuku, inatweza utu wa Mwafrika na kukumbusha historia mbaya

    Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa. Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza historia mbaya na machungu ya biashara ya utumwa ya kuuzana sisi wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

    Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki? Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani. Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunashindana wenyewe, tunaogopa maendeleo ya mwafrika mwengine, tunaridhika tukiwa juu ya mwafrika mwenzetu bila ari ya kushindana kimataifa.

    Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi, Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa sababu za ubinafsi aidha hayupo kwenye kabila / ukoo wake, anahofia akimpa atamzidi maendeleo...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mzungu na Mwafrika wakishirikishana uzoefu

    Wote ni binadamu, kwa hiyo wote wana mazuri yao na madhaifu yao. Unafikiri: 1. Kipi kizuri Mzungu alicho ambacho Mwafrika anapaswa kukiiga? 2. Kipi kizuri Mwafrika alicho nacho ambacho Mzungu anapaswa kukiiga? Karibuni!
  16. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Watch this: Hapa ingekua kinyume tungesikia kelele za ubaguzi

  17. J

    JamiiForums Tanzania Je Unaijua thamani Yako kama Mtu Mweusi (Mwafrika) kulingana na Quran?

    Mishkat al-Masabih Hadith 119 inasema Allah alipomuumba Adam alipiga baga la kulia wakapatikana Wana weupe; akapiga bega la kushoto wakapatikana Wana weusi. Wana weupe akawazawadia pepo na weusi Jehanamu. Aidha, ulipata kujua kuwa Quran inamtambulisha Mtume Mohammad kuwa mtu mweupe? Sahih...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Ububu wa AU na ECOWAS baada ya mapinduzi ya Niger waonyesha jinsi akili ya Mwafrika ilivyofumbwa na kuwa tegemezi

    Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria. ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka bila kufikiri wakatangaza kuwa watachukua hatua za kijeshi endapo raisi wa Niger aliepinduliwa...
  19. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani mwafrika na mzungu kukaa meza moja kutatua changamoto za Tanzania

    Haitakaa hata siku Moja wazungu wakakaa na Watanzania kumsaidia uchumi wa nchi bali watakaa watanzania na wazungu kuua uchumi wa nchi. Kwasababu kama wangekuwa na nia ya kuisaidia Tanzania wangeisaidia siku nyingi sana. Tanzania haiwezi kuwa na uchumi imara kwasababu wananufaika na umasikini na...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Shida ya Mwafrika ni kwamba kwenye vikao vyetu tunajadili akili za wapinzani wetu na siyo kujadili hoja

    Umaskini wa mwafrika uko kwenye kushindwa kutumia siasa katika kuamua mambo yetu.si kila kitu utatumia siasa.kwa mfano ukitumia siasa hovyo kwa mambo ya afya ujue utaua wengi. Kosa letu zinpokuja hoja, tunaacha kujadili hoja badala yake tunajadili akili za wapinzani wetu. Kwamba yule mpinzani...
Back
Top Bottom