mvua

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hali ya mitaa ya Mwanza ilivyo baada ya mvua ya leo Desemba 2, 2024

    Hivi ndivyo hali ilivyo upande wa mitaa ya Mwanza kutokana na mvua iliyonyesha leo Desemba 2, 2024 ambapo maji yamejaa katikamaeneo mengi iliwemo kufunika Barabara. Hii ni mitaa ya Furahisa – Kirumba.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Nyumba 10 zimebomoka kutokana na mvua Kasulu

    Zaidi ya nyumba 10 katika mtaa wa mkombozi kata ya murusi halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimebomoka na nyingine kuezuliwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha oktoba 29 mwaka huu. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa mkombozi wakieleza namna walivyoshuhudia upepo mkali na...
  3. ankol

    JamiiForums Tanzania Mvua za vuli kua chini ya wastani

    Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua. Watu wapo site wanaissafisha pori eka za kutosha tu tena wamepiga kambi. Narudi kwenye kurasa za...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zoezi la Upigaji Kura Mwanza linaendelea licha ya mvua kunyesha, leo Novemba 27, 2024

    Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: RC Mtanda ahimiza Wananchi waende kupiga Kura, ataka wasiogope mvua

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu. Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Vuma Holle Aendelea Kuzisaka Kura Kwenye Mvua

    MBUNGE VUMA HOLLE AENDELEA KUZISAKA KURA KWENYE MVUA Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Mhe. Augustine Vuma Holle ameendelea na Kampeni za kuwaombea kura wagombea wanaotokana na CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024 wakati Mvua ikiendelea...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mwanza iboreshe ‘maeneo korofi’ ambapo mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya

    Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru ambayo yana kina kifupi athari inazidi kuwa kubwa. Kinachoombwa na watu wengi ni kusafishwa kwa Mto...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mikataba 93 Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
  11. Right Way In Light

    JamiiForums Tanzania Hatimaye tumekutana tena. Alinifaa kwa Jua lake leo nimemfaa kwa mvua yangu

    Huyu jamaa alishawah nisaidia nikaipata bag ya laptop niliyoibiwa nikiwa nimepaki gar ofisin na laptop nimeacha ndani ya gari. Hanijui simjui ila alikua mpangaji mwenzagu kwenye hizo frame. Alinisaidia baada ya kuitafuta sana kuambulia patupu nikakata tamaa. (Ni story ndefu sana). Ila mwisho...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyesha tayari.

    Kuna mtu mahali atasimulia kitachompata leo.
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Baada ya Jaja Mwizi kuuliwa, Chadi Maela naye afariki kwa kipigo cha Wananchi huko Mikocheni

    ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mikataba Ujenzi wa Madaraja 13 Yaliyoathiriwa na Mvua - Lindi, Bilioni 140 Kutumika

    Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo. Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mama mkanye mwanao, hakuna cha bure mafanikio hayaji kama mvua

    Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi ile na kukutembeza kwenye maeneo machache sana Muhimu ambayo tunaweza kujipatia mahitaji na huduma...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya najua: Ukiwa unasoma utabiri wa hali ya hewa, ile % kwenye mvua inamaanisha nini?

    Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua. Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%. Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini? Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo mkoani Iringa yapata mvua

    #HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya. Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na...
  18. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania Updates ya Mvua za Vuli msimu wa 2024

    Habari wakulima kwa Mujibu wa Utabari wa Mamlaka ya hali ya hewa wametoa Taarifa kwamba ile mikoa inayopata msimu wa Mvua mara mbili kwa mwaka mvua zinatarajia kuanza wiki ya nne ya mwezi October, Sasa kama wakulima inatakiwa tupeane update za Mvua kama kuna mikoa tayari imeshaanza ili mikoa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kukarabati Madaraja Yaliyoharibiwa na Mvua

    SERIKALI KUKARABATI MADARAJA YALIYOHARIBIWA NA MVUA. Naibu Waziri, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu ya Madaraja na inaendelea na urekebishaji wa madaraja yote ambayo yaliharibiwa na mvua...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za mwenendo wa mvua za VULI hapo ulipo

    Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
Back
Top Bottom