muundo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Titus Christian Katunzi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  4. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muundo wa tume yetu ya uchuguzi ukiungalia vizuri utagundua kwenda kupiga kura ni uenda wazimu

    Hivi ndugu zangu Watanganyika tutaelimika lini? Yani tunaburuzwa kwenda kupiga kura ilihali Mshindi anajulikana nasi hatuoni shida! Hivi katuloga nani? Unaacha shughuli zako kabisa na kwenda kuunga foleni🚮🚮 Mimi kama Prof. Assad tu, kama tumeshindwa kupigania mifumo huru na thabiti sioni haja...
  5. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa IGP Wambura, tafadhali fumua muundo wa Dawati la Jinsia nchini.

    Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee. Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
  6. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Nafanya Graphic Design, Window Repair and Installation, Phone Settings

  7. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Visiwa vya Pemba na Unguja: Ujenzi wa Kipekee wa Miamba ya Matumbawe na Kuunda Visiwa

    Visiwa vya Pemba na Unguja, vilivyoko Zanzibar, Tanzania, vina historia ya kijiolojia inayofurahisha. Jiolojia ya visiwa hivi inahusisha michakato mbalimbali ambayo imesababisha muundo na muonekano wa kijiolojia wa visiwa hivyo. Kwa kuanza, visiwa hivi vinaundwa na miamba ya ardhini ambayo...
  8. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kijiolojia na Kisayansi: Upekee wa Muundo wa Ardhi ya Iringa, Tanzania

    Iringa ni mkoa ulioko katika sehemu ya kusini mwa Tanzania, na ni sehemu muhimu sana kijiolojia katika kuelewa muundo wa bara la Afrika. Kijiolojia, eneo hili limeathiriwa na michakato mingi ya kijiolojia ambayo imeunda miamba ya kale na muundo wa ardhi unaopatikana huko. Miamba ya kale...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Muundo wa muungano ndio KERO kubwa namba moja ambayo haizungumziwi

    Imagine, zilungana Zanzibar na Tanganyika kuunda seeikali ya Muungano, lakini zanzibari ime retain taifa lake wakiwa na katiba, raisi, wimbo wa taifa, bunge, Baraza la mawaziri, wimbo wa taifa, bendera huku Tanganyika ikifutika. Hilo ndio KERO kuu isiyo ongelewa
  10. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kuna faida na changamoto zipi ukijenga nyumba ya muundo huu?

    SIO YA MBAO, MUUNDO KAMA HUU ILA TOFALI ZA BLOCK KAMA KAWAIDA
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

    Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club. Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi kuona/kusikia serikali imeweka muundo wa kiutumishi kwenye master degree

    Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Isipotokea Inshallah siku nyingine. KAZI IENDELEE
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Jeshi la Uhifadhi Unafanya Kazi Vizuri

    MHE. MARY MASANJA - MUUNDO WA JESHI LA UHIFADHI UNAFANYA KAZI VIZURI Serikali imesema Taasisi za Uhifadhi nchini zimeendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kufuatia muundo wa sasa wa Jeshi la Uhifadhi kuziwezesha Taasisi hizo kufanya kazi zake vizuri huku kila Taasisi ikiwa inasimamiwa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango

    Habari za majukumu. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu. Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamati yapokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu muundo na majukumu ya Wizara hiyo

    Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu muundo na majukumu ya Wizara hiyo kwa mujibu wa ratiba na vikao vya Kamati za Bunge ambavyo vimeanza Machi 10, 2023. ======== Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Cheo kipya cha Muundo walimu wenye MASTERS

    Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree.
  18. M

    JamiiForums Tanzania JOB SCHEMES/ Muundo wa kiutumishi

    Habari za Leo wataalamu na wabobezi wa fani mbalimbali. Niende Moja kwa Moja kwenye Maada. Naomba mwenye waraka/Mwongozo wa muundo wa kiutumishi (job schemes) unaosimamiwa na wizara husika anisaidie maana nimeutafuta kwenye tovuti ya utumishi nimeukosa na kwenye searching engine zingine...
  19. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania If design award 2022; Tecno camon 19 pro na phantom x zashinda tuzo za muundo bora

    Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu, ikithibitisha kujitolea kwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais, ikikupendeza irudishe TAMISEMI ofisi ya Waziri Mkuu; Waziri Mkuu Majaliwa atakusaidia zaidi ya ulivyo muundo wa sasa

    Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
Back
Top Bottom