Ni wakati wa kujifunza kuhusu uwekezaji katika hisa.
Naam — wakati ni sasa. Si kesho, ni leo.
Jifunze na uanze kuwekeza kwa minajili ya kukua kifedha.
Namba zinaonyesha sekta ya fedha inaendelea kukua kila siku. Ukuaji huu si wa mapato pekee, bali pia watu wengi zaidi wanaanza kujifunza kuhusu...