Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, kimesema Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni atachukua fomu za kutetea nafasi yake kwa muhula mwingine wa miaka mitano katika uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao 2026.
Kama atachaguliwa, Museveni ataongeza utawala wake wa takriban...