muongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya China yatoa muongozo muhimu na kuwa kichocheo katika juhudi za Afrika kuelekea usasa

    Katika mwaka 2024, Afrika ilichukua nafasi kubwa kwenye ajenda ya maendeleo ya kimataifa, ikionesha uthabiti wa bara hilo na uhusiano wake wa kina na China na nchi za Dunia ya Kusini kwa ujumla katika medani ya kimataifa. Kuanzia Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Zisizofungamana na Upande wowote...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
  3. JamiiForums Tanzania Kijana wenu anahitaji muongozo

    Wataalamu wa mambo toeni mwongozo
  4. JamiiForums Tanzania Wajuvi wa rotary scholarship naomba muongozo

    Wanajanvi habari za wakati hu, Samahani kwa yoyote mwenyewe ABC Za rotary club of osterbay scholarship, I mean when to apply, inatumia muda gani kutoa majibu na majibu yanamfikiaje applicants please share here Thanks in advance
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mpambanaji Anahitaji Muongozo Wako

    Dear Hustler, mi ni mpambanaji mwenzenu mwenye bidii, uthubu na moyo wa kujituma kwa sasa niko Mwanza. Nimeangaika sana kutafuta kazi sehemu tofauti tofauti bila mafanikio, naomba kama kuna mtu yoyote mwenye connection ya kazi anisaidie Mbali na kutafuta kazi lakini pia nina mtaji wa 1.2m...
  7. JamiiForums Tanzania Muongozo tafadhali wa pahali pazuri pa kuishi Dar es salaaam

    Salamu kwenu wakuu Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge. Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Ziara za Chalamila akiongozana na watumishi wa umma, tena usiku wa manane, zina muongozo upi wa sheria? Hasa kwa wenye watoto na ndoa?

    Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume. Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa sijafahamu kuhusu huu utumishi wa mpaka usiku wa manane. Kwanza, hao watumishi wanatakiwa kuwa kazini saa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jaman msaada wa muongozo wa interview Assintant aircraft mashaller

    Msaada wa muongozo interview kada ya Assintant Aircraft Mashaller
  10. JamiiForums Tanzania Kigoma Clinical Officer COTCK tupeane muongozo wa taasisi

    Wanachuo tunaojiunga kwa mwaja wa masomo 2024/2025 tujuane tupeane location n kuchangia mawazo zaidi. Na kwa walio pitia chuo icho pia tupeane msaada🙏🏼🙏🏼
  11. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na Bunge lake wanatosha kwa Spika kutoliongoza Bunge kutengua kanuni muda wa Bunge uongezwe, na wabunge kutoomba muongozo wa Spika?

    Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka. Yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba muongoxo kwa Aliewahi kutumia wireless bulb camera

    Kuna hizi wireless bulb, naona ziko portable na unaeeza kuangalia popote, 1. Je cloud/live stream inalipiwa au ni free lifetime? 2. Ubora wake ukoje? Kama nina camera tatu, zote naweza kuzi manage katika app moja? 3. Kampuni gani ni nzuri?
  13. JamiiForums Tanzania Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaji muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  14. JamiiForums Tanzania Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaj muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  15. JamiiForums Tanzania Anaejua muongozo wa ku renew NIDA iliyo expire msaada tafadhali

    Wale wenzangu wenye zile NIDA zetu za 2014 ambazo mwenda zake alizikataa zimesha anza ku-expire, naomba kujua kama kuna mtu amesha renew, utaratibu upoje? Je naweza kwenda ofisi yoyote ya NIDA au lazima niwe mkoa niliojiandikishia? Na maelezo yoyote ya ziada ni muhimu sana. Asante sana🙏
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Natamani kutafsiri vitabu ila sijui wapi nianzie naomba muongozo tafadhari

    Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kuhusu ajira za polisi, nitegemee nini baada ya kupita usaili?

    Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024. Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili? Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua mchakato mzima huwa unaendaje: usaili lini, majibu baada ya muda gani, mafunzo ya jeshi ni mda gani, na...
  19. JamiiForums Tanzania muongozo jinsi ya kwenda kuoa Lesotho

    naombeni muongozo wakuu
  20. JamiiForums Tanzania Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako

    Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako. Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…