muongozo jinsi ya kwenda kuoa Lesotho

Hakuna muongozo zaidi ya kuandaa Lobola ambayo ni kama "mahari"
Wasichana ni wazuri kama wazulu au Xhosa wa SA
Mahari angalau change milioni 5 iwe kwenye dollar nenda kachukue Mali tuchanganye dam
 
Huyo unayetaka kumuoa ndiye atakayekupa muongozo kulingana na mila na desturi zao.
 
Back
Top Bottom