mungu

  1. Hakika Mwenye Enzi Mungu anapokea swaumu nyingi sasa wakristo na waislam

    Wsalaam wana JF Hakika sasa swaumu nyingi zipo malangoni mwa Mwenye Enzi Mungu. Wote kwa pamoja,wakristo na waislaam. Mungu mwenye rehma atufanyie wepesi, autujalie riziki njema, atuondolee sukuma gang na bashite, amtunze mama yetu na kumpa hekma na subra. Tafadhali ongeza sala yako...
  2. Asili ya neno Mungu ni nini?

    Habari wakuu. Kila neno kwenye lugha huwa lina athiri yake. Mfano ukichunguza utaona kuwa God aliabudiwa na jamii nyingi za Ulaya kabla hata ya ukristo. Allah aliabudiwa na waarabu kabla hata ya uislamu. Yahweh/Yehova aliabudiwa na wana wa Isaraeli. Kuna makabila yetu ambayo yana majina yao ya...
  3. Sura ya Mungu kupitia Wajapani

    MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA). MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE. NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE...
  4. Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

    Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu. Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko mbinguni mpaka kieleweke. Kutuletea Ibilisi huku duniani ni kutuonea tu maana hatuna uwezo wowote wa...
  5. Wanakumbuka VIZURI agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho ila wanapinga na hawataki agizo kua mwanamke atakua chini ya mwanaume.

    Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu. Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
  6. Azam Mungu akupe nini na hapa napo umeshindwa?

    Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare... Azam wewe utaweza kucheza federation? Round ya kwanza tyu ushatolewa.... dadeki zako
  7. Mimi ni mwanabaiolojia na huu hapa ndio uthibitisho wa uhalali wa Mungu(2)

    Kuna mtindo wa kwenye social media watu kutosoma maelezo marefu sana. Hivyo basi nimeamua kuileta sehemu tu ya ile sehemu ya pili, enjoy; ....................kukazia pointi kadhaa na kufunga; Ndugu zangu, haidhuru mtu au mfumo kutokujua mwisho au mwanzo wake ili kuleta maana – ‘sense’. Maana...
  8. Mapambano ya shetani dhidi ya elimu ya Mungu yanaendelea

    Baada ya kuwaza na kuwazua yule Mwasi mkuu yaani Shetani akaja na wazo ili kudumisha wazo lake la kutokufa hakika (Mwanzo 3:4),alitunga Uongo mwingine ili kulinda uongo wake wa awali. Wazo lake likawa hivi: MTU AKIFA ROHO YAKE HAIFI,ITAENDELEA KUISHI MAHALI PENGINE. Katika uongo huu ameilevya...
  9. Kama Yesu angezaliwa na kumtumikia Mungu zama hizi za leo maana yake angefungwa Segerea nasio kutundikwa msalabani.

    No OFFENCE NO OFFENCE Naomba mada isichukuliwe tofauti na pia niweke bayana baadhi ya mambo. Kwanza mimi ni mbatizwa kwa Jina la Joseph ( na sijui kwa nini sisi wenye majina yetu asili uwa tunapewa majina mengine, sitaki kuamini kama Mungu ni mbaguzi kiasi icho). Nilibatizwa mpaka kupata...
  10. Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

    Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu. Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao. Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
  11. Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

    Kuna mambo mengine yanafikilisha sana, kuna movement kibao zimeanzishwa ili kumpiga vita Ibilisi ila cha kushangaza Ibilisi huyo bado yupo na anadunda vizuri tu. Ukiangalia movement ambazo Mungu ameanzisha ili aweze kujitangaza na kumpiga vita Ibilisi ni nyingi sana ukilinganisha na zile ambazo...
  12. Haya ni makundi ambayo hayataingia kwenye ufalme wa Mungu: Jitazame wewe uko wapi?

    TAHADHARI: MADA SIO YA KIDINI Katika ulimwengu tuliopo na tulikopita kuna makundi au kazi ambazo ukifanya tu kaa ukijua lazma utende dhambi kwa lazma. Orodha ambayo ni vigumu sana kuuona ufalme wa Mungu. 1. Maafisa wa TRA Hawa watu hawana utu kabisa,wao hujiangalia wao tu. Hawafanya...
  13. GWAJIMA: Mungu huinua Watu kupitia Watu

    Nipo nasikiliza Quote za Askofu Josephat Gwajima Hakika Mungu huinua Watu kupitia Watu.
  14. Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

    “Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa maandishi lakini umekuja,asante sana umeniheshimu sana Mama” "Tunakuombea Mungu akupe nguvu ya kuendelea...
  15. Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

    Hello! Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?". Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
  16. Dokezo: Mungu hajihusishi na mambo yasiyo kuwa na maslahi kwake. Tambueni hilo

    Kuna baadhi ya watu wanapenda sana kumuingiza Mungu katika vitu ambavyo havina faida kwake. Unakuta timu ya mpira inacheza labda Tanzania na Kenya, kila upande wa mashabiki wanaomba Mungu washinde sa Mungu atashabikia timu gani? Ikishinda Kenya tutasema Mungu ni mbaguzi?. Ukraine vs Russia...
  17. K

    Tujifunze kumpenda Mungu sio kumjaribu

    Wakati huu wa kwaresma ni wakati wa kukumbuka pamoja na kwamba Mwenyezi Mungu anatulinda tusimjaribu. Mungu ametupa uwezo wa kujua na kugundua dawa hivyo tusiache kutumia na kusubiri Mungu. Kwa ufupi kumjaribu Mungu sio swala zuri na kuwaambia watu waache kufuata njia za kinga kama kutumia...
  18. Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  19. S

    Viongozi wa Serikali ya CCM hawapati thawabu wala Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu

    Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea. Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu? Wanatia huruma sana...
  20. Mungu hapangiwi ila Magufuli alipaswa ayaone haya akiwa hai ajifunze

    Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo. Alipaswa kumuona Lissu akitabasamu na Mama Brussels. Alipaswa kumuona Mbowe akipeana na mama mkono Ikulu. Alipaswa kumuona Sabaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…