mungu

  1. F

    Watanzania tufunge na Kuomba tukimlilia Mungu?

    Katika nchi yetu kuanzia juzi vilio vya makato ya miamala ya Kibenk vimetikisa nchi yetu. Kwa bahati mbaya kabisa wenye mamlaka wamekuwa wakitoa majibu ya kejeri na kiburi ndani yake. Hawasikii Wala hawana uchungu dhidi ya mamilioni ya watanzania wanao ogelea katika dibwi la umasikini huku wao...
  2. Hiki ni kitu gani wajameni?wanawake Mungu naomba uwachome kasoro mama yangu!

    Sina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?
  3. Jamani Mungu anawaona kwa mnayowafanyia kondoo hawa!

    Inasikitisha sana kwakeli yani baadhi ya wachungaji wanawaaminisha wanatibu vvu na kuwafanya watu wanaacha dawa hatimaye kufa. Lakini pia niwape kisa kingine nje na hapo juu. Kwanza nikiri wapo wachungaji wachache wenye karama ya uponyaji, wengine wapiga dili tu.Kisa cha kweli ila sitataja jina...
  4. T

    Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  5. S

    Nifanye ibada kwa njia ipi ili Mungu wangu ajibu maombi yangu kwa haraka?

    Mwenzenu nina shida ya haraka, ambayo nikiweza kutatua ndani ya siku 3, maisha yangu yatakuwa yamefunguliwa upya. Kila nikiwaza binadamu gani wa kunisaidia simuoni. Tumaini ninaloliona ni kupata msaada toka kwa Mwenyezi Mungu. Wana bodi, nifanye ibada gani Ili Mungu anisaidie kwa uharaka?
  6. T

    Mungu wangu likumbuke Taifa langu la Tanzania

    Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza...
  7. K

    Huku ndio kumpendeza Mungu?

    Habari WanaJF Napenda kuwasilisha mada kama kichwa kinavyosema, nilikuwa mfanyakazi wa kampuni fUlani, ilipofika mwaka 2013. Mambo yaliharibika maana nilifukuzwa kazi. Lakini cha kushangaza ninao rafiki zangu walikuwa wafanyabiashara wakubwa, kipindi cha awamu ya 5 walipata misukosuko hadi...
  8. R

    Baada ya kuona kinachoendelea uchaguzi Kenya, thinking ya UCHAWA CCM nilitegemea ibadilike, kuondoa mawazo ya utwana na utumwa wa kumuona Rais Mungu

    Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao. 1. Uwazi 2. Uhuru wa media zao 3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi 4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea 5. etc etc etc Summary nzuri ameifanya Askofu Bagonza kama ilivyo hapa chini! UCHAGUZI MKUU KENYA...
  9. SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  10. R

    Je, Mama ni Mungu?

    Habari wadau! Nadhani watu mtashangaa kuona bandiko hilo lakini kumbuka nimeweka alama ya kuuliza kule mwisho tena mara nne ili hata wale wazee wa fasta fasta waelewe hilo ni SWALI NA SI SENTENSI. Aisee kwenye dunia hii kama umezaliwa eneo ambalo mama yako ni mstaarabu basi shukuru ila kama...
  11. TFF wanasheria za mkoloni ni mungu watu. Bodi ya Ligi ni kama mzinga wa nyuki. Yanga awamu hii msikubali na kinachoenda kutokea

    TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia. Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
  12. Watumishi wa Mungu wanachanganya

    Watumishi wengi wa Mungu wanapenda kusema wameoteshwa au amekuona kwenye ndoto na ameona nyota yako imechukuliwa. Mimi huwa siamini kitu kama hicho je kunakuwaga na ukweli wowote? Na pia mimi siamini kwenye kuombewa napenda zaidi mtumishi anifundishe jinsi ya kusali kisha aniache niongee na...
  13. N

    Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

    Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe! Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa. Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi...
  14. Ewe Mwenyezi Mungu naomba atakayetangazwa na Simba SC Saa 9 hii awe ni Ceaser Lobi Manzoki na siyo Mzungu Mserbia

    Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki. Kila la Kheri.
  15. Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

    Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa. Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
  16. Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

    Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...
  17. Mungu kanionesha mbaya wangu nimebaki nacheka tu

    Habari. Kijana wangu mmoja nimemkuta akinipiga majungu kwa tajiri nimebaki nacheka huku nasikitika Eti anamwambia boss asinipe kazi mimi bali awe anampa yeye eti mimi Nina bei kubwa yeye atamfanyia kwa bei ya chini Kijana wangu huyu nataka nimtimue lakini namuonea huruma
  18. Mungu yupo, na anatenda kazi

    Habari marafiki, naomba ku-share nanyi kuhusu huu mkasa wangu namna gani niliteswa na nguvu za giza pasipo Mimi kufahamu. Mwaka 2010 wakati namaliza elimu yangu ya secondari pale Mugabe Sinza madukani nilikuwa napitia wakati mgumu Ila sikuwa najua kwamba kilichonisumbua ni ushirikina. Kwanza...
  19. Suguye ni mchawi au ni Mtumishi wa Mungu?

  20. M

    Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

    Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…