mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi dini ya mitume wa mwenyezi mungu na manabii

    Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani? Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
  2. JamiiForums Tanzania Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa kuna Wahusika Wawili mahasimu, wakwanza anaitwa MUNGU na wapili anaitwa SHETANI. Mhusika Mungu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiijua kweli hutoteseka kamwe

    Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti. Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...
  4. JamiiForums Tanzania Isingekuwa uwezo wa Mungu leo ningekuwa marehemu na mtaani kungekuwa na misiba na majeruhi wengi siku ile

    Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
  5. JamiiForums Tanzania Mafuriko yalitaka kunitoa roho, ila Mungu hakutaka kabisa itokee

    Kwema Wananchi Leo nimekumbuka tukio baya zaidi la ajali ambalo lililotokea mwaka 2014 nikiwa natoka kazini kupitia njia ya Jangwani ofisi ya mwendo kasi, zamani mlango/geti likiwa limekelezea upande kama unaenda kariakoo hivyo na kufanya maji ya mvua yanayotawanyika kutoka kwenye ofisi zao...
  6. JamiiForums Tanzania Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
  7. JamiiForums Tanzania Leo tuwachane madaktari na manesi kujiona wadogo zake Mungu

    Hakuna shaka wanafanya kazi kubwa kuokoa maisha yetu. Mungu awabariki sana kwenye hilo. Lakini kama binadamu wengine nao wana mapungufu. Wengine mapungufu makubwa zaidi mpaka unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri. Ninayo machache ya kushangaza kwa hawa ndugu wakiwa anga zao; 1...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu tupe akili sana sana sisi ngozi nyeusi

    Habari JF Wanadamu ni wanafiki sana tena pengine nahisi wengi tunafanya mambo hayo ya kipumbavu kwa mihemko na kufwata mkumbo kibaya zaidi kwa mfano una darasa lina wanafunzi 40 wachukue hao wanafunzi uwagawe katika makundi mawili kundi A na kundi B bila kujali dini zao wala kabila zao alafu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

    Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania. Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi msijivike utukufu wa Mungu

    Cheo ni dhamana tuu, ukipewa cheo flani tafsiri yake umeaminiwa na watu kwenye nafasi hiyo, kuna baadhi ya viongozi wanajitwalia utukufu wa Mungu, sijapendezwa na hilo kabisa tafuta namna nyingine ambayo watu watakusifia kwa kipimo na ukanushe hizo kauli.
  11. JamiiForums Tanzania Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye ekaristi takatifu ni Yesu au Mungu katika nafasi tatu??

    Kwa wakristo wanaoamini Imani ya TRANSUBSTANTIATION, kwenye mkate na divai, pale ni Yesu peke yake yupo? Maana Mungu ni mmoja na hagawanyiki. Basi tulipaswa kusema pale Yuko Mungu katika ukamilifu wake, katika nafsi zote tatu, ama sivyo basi yupo Yesu katika Hali yake ya kibinadamu tu na umungu...
  13. JamiiForums Tanzania Umewahi tokewa na kitu gani kisicho cha kawaida mpaka ukamshukuru Mungu?

    Mwaka 2013 nilipofika dar nilifikia maeneo ya magomeni mapipa kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, basi bhana ratiba za kazi ilikuwa kama hivi; Nikiamka saa 12 nichote maji nioshe vyombo, nifua ninywe chai, nibebe maji ya kandoro nikauze tripu ya kwanza maji 50, ya pili na yatatu, mpaka saa 11...
  14. JamiiForums Tanzania Kupeleka chakula kwa mwenzako wakati wewe una njaa ni wema au unafiki?

    Hivi majuzi niliona mahala na kusikia kwingineko kuwa Tanzania imepeleka Shehena za Mahindi ya Msaada kwa Waathirika wa Kimbunga Freddy huko nchini Malawi kama sehemu ya kuonyesha ujirani mwema na kupata Thawabu zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Sasa nami GENTAMYCINE nauliza je, kutoa Msaada wa Chakula...
  15. JamiiForums Tanzania Alichokifanya huyu jamaa, kweli tutafute pesa sana na usimwache Mungu

    Amani kwako. Ramadan Mubarak. Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi. Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji...
  16. JamiiForums Tanzania Zumaridi ni mungu asiye na mbingu yake hadi anaenda kwenye mbingu ya Mungu mwingine

    Zumaridi ameudhihirishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni mhitaji wa tiba ya afya ya akili. Zumaridi amekuwa akijibasibu kwamba yeye ni mungu na amekuwa akipata wafuasi ambao wanamuamini na kumheshimu. Pia wapo ambao wamediriki kuachia shughuli zao zote za kimaendeleo ili tu wamtumikie Zumaridi...
  17. JamiiForums Tanzania Sikujua Urusi ni chaguo pekee la Mungu kwa karne hii

    Nasikitika kusema kuwa mimi nilikuwa mhathirika mkubwa wa Magharibi, yaain nilikuwa naweza kugombana na mtu au kutukana pale tu anapoigusa Marekani kiufupi nilikuwa shabiki kufa kufa wa Magharibi hasa linapokuja suala la mzozo wa Ukraine na Russia. Ila kwa furaha sana baada ya kufuatilia fact...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, Taifa Stars haihitaji Hamasa na Maombi kwa Mungu bali Maandalizi makubwa na Utayari wa Wachezaji

    Binafsi tokea uteuliwe kuwa Waziri wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo sijaona la maana ulilofanya hata katika Press Conferences zako zote. Yaani kabisa Waziri mzima unasimama mbele ya watu wenye akili (akina GENTAMYCINE na wengineo hapa JamiiForums) unatuambia tufanye maombi (dua) ili...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli nikikuangalia naona upendo, nikikusikiliza nasikia upendo; Mungu akubariki sana!

    Kupitia TBC jana, katika kipindi kinachozungumzia yaliyojiri wiki hiyo, nimekuona ukiwa katika ibada/misa ya kumuombea marehemu mume wako ambaye pia alikuwa raisi wa JMT. Ulipokaribishwa mbele kwa ajili ya kutoa neno, kinywa chako kilinena vema kabisa. Katika mengi uliyoongea, kamwe hukusahau...
  20. JamiiForums Tanzania Mliobarikiwa na Mwenyezi Mungu Maarifa na Ubobezi wa Wanyama na Wadudu hebu nisaidieni katika hili Nielimike

    1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…