mungu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata, bisheni hodi mtafunguliwa ni maneno ya Mungu mwenyewe. Kwanini hujibiwi maombi yako?

    Soma vizuri hasa huko chini kuna ujumbe wako. Mungu husimamia neno lake. Mungu ni mwaminifu, hadanganyi wala hadanganywi. Ukiomba kwake usipopata basi usikae kimya ukaanza kusema Mungu hajibu, sijui Mungu hufanya polepole au hata kusema kuwa Mungu hayupo. Muulize Mungu kwanini nimeomba kitu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

    Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno. Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

    Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi...
  4. JamiiForums Tanzania Mungu hana msemaji wala dalali huku duniani

    Nawafokea kwa karipio kali watu wote wanao tumia maandiko kuwahadaa walimwengu Wapo watu wanaodhani ni ujanja au uwerevu ku-take advantage ya ujinga wa wenzao kwa kuwahadaa kwamba wao ni mitume au manabii au madalali au mawakala au wasemaji wa Mungu Wanakusanya makundi makubwa ya watu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Niliachana na aliyekuwa mume wangu miaka 5 imepita, kuachana kwetu kulikuwa kubaya sana kwa mambo mabaya yaliyopita katikati yetu. Sipendi kuyaeleza maana ni mabaya ila nilishayasahau na kuyaacha yapite. Baada ya kuachana (aliondoka bila kuniaga na kodi ikiwa tunadaiwa miezi 5 bila kulipa)...
  6. JamiiForums Tanzania Ni vipi Mungu anahusika kuwaleta duniani watu wanaozaliwa na ulemavu unaofanya maisha yao kuwa Jehanamu, Ni baraka yake kuwa hivyo ?

    Nimechoka na majibu ya mkato kwamba mambo ya Mungu tumwachie Mungu mwenyewe, hili jibu haliwezi kamwe kutosha kwa maisha magumu wanayopitia walemavu, Ufafanuzi unahitajika !! Wanasema kila kitu ni utukufu wa Mungu, watu wote wanaozaliwa wameumbwa kwa baraka yake, Kwa walemavu je ni baraka kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kipi kinaanza Mema / Wema au Imani / Mungu

    Najiuliza kwa mukstakabari wa Afya ya Jamii na Amani kipi kinatakiwa kiwe Kipimo cha Matendo ya Wanajamii kuyafanya Imani yao inavyowatuma (bila kuangalia matokeo) au Matokeo (yaani wanachofanya kuhakikisha hakiumizi yoyote) hata kama kinaendana tofauti na Imani yao ? Hata Kama Imani hio ni ya...
  8. JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Nawasalimia wana JF wote. Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo. Sipendi niseme kwamba jina Mungu au neno Mungu ndio sahihi katika kitu ninachotaka kuongelea. Lakini nitaongelea...
  9. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuzulumiwa na ndugu kisha ukaona Mungu akitenda maajabu yake?

    Nakumbuka 2018 niliacha kazi ya house boy nikarudi kijijini kulima, wakati huo tayari nilishatanguliza pesa ya kukodi shamba heka 70000 moja na kulima na trecta 45000 kurudia na ng'ombe 2500 mbegu 35000 ukijumlisha na zakutolea na mpokeaji inakuja kwenye 200000. Sasa muda wa kurudia na n'ombe...
  10. JamiiForums Tanzania Nampenda Mungu tu

    Sisi sio mafala ila bado wanaumee wanaona hiivyoo. Mi nampenda Mungu tu . Ila Kuna mtu anaringa sana eti Kisa anamashangazi plus mke ila yote life na kitambii changu, Ngoja mjerumani wangu aje nitatolewa tu mpenzi halafu tuone kama hutonimiss . Mume wangu mwingine yupo tu,good day endelea...
  11. JamiiForums Tanzania Ifike wakati Wahubiri dini wamuogope Mungu japo kidogo

    Mtu na akli zake timamu kabisa anaenda kupanga foleni kupewa nguvu za kiume na muhubiri dini. Hizi dini zinazidi kupoteza maana sababu ya tamaa za wanadamu.
  12. JamiiForums Tanzania Mungu akitaka ufanikiwe ni chap tu

    Haijalishi unatoka wapi unafanya nini au wewe ni nani Mungu akikuinua hata sisi tutashangaa. Tusichoke kusali, na kufanya kazi kwa bidii.
  13. JamiiForums Tanzania Je, Anthropic principle Inathibitisha uwepo wa Mungu?

    Kimsingi, kanuni ya anthropic ni dhana inayosema kwamba hali yetu ya kuwepo ulimwenguni inategemea hali maalum ya ulimwengu wetu. Dhana hii inaamini kuwa ulimwengu wetu umetayarishwa kwa njia maalum ili kuwezesha kuwepo kwa maisha. Kwa mfano, inasemekana kuwa sheria za kisayansi zilizopo...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Prof. Wajackoya: "kuna watu wamemkasirisha Mungu, watakufa kama Magufuli"

    Prof. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka kwa Mungu. Mbona jamaa yetu alikuwa anashinda makanisani akiombewa, na Kila mahali alikuwa anaomba...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoishi kwenye nyumba za kupanga Mungu anawaona

    Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
  16. JamiiForums Tanzania Kama ni mzima wa afya mshukuru Mungu, kuna watu wanateseka na maradhi

    Wasalaam ndg, Nianze kwakusema kuna binadam wanateseka na magonjwa ile mbaya analazwa hospital hadi anazoeana na kila mfanyakazi wa hospital kuanzia walinzi, wafanya usafi, manesi na madaktari. Iko hivi last month jumatatu tarehe 20 nilipata ajali maeneo ya Ngunja Mkuranga nikiwa na pikipiki...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Bocco kumsemea Phiri kwa Mungu sasa zamu ya Baleke

    Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na kumuheshimu Bocco kama ukoma. Sasa juzi hapa Mwenda amempeleka tena Bocco kwa wakulungwa huko madizini...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

    Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha. Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake...
  19. JamiiForums Tanzania Wakristo Kwanini tunakula viumbe vyote ambavyo Mungu aliruhusu lakini tunachagua na kubagua vilivyokatazwa akiwemo Nguruwe?

    Huwa nashangaa sana ni vipi kila kiumbe ambacho Mungu alituruhusu kula huwa kinalika bila tatizo na ni salama kwetu lakini linapokuja suala la viumbe ambavyo alivikataza huwa kuna ubaguzi, mfano viumbe kama nzi, nyau, punda, mjusi na panya watu wanabagua lakini kwa wakati huo huo wanakula...
  20. JamiiForums Tanzania "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…