mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mungu hakufanya makosa kumfanya mwanaume kuwa kichwa katika jamii zetu

    Hapo zamani za kale Mungu alidhihiri mamlaka na uwepo wake kwenye nafsi za wanaume na ndiomana alifanya mwanaume amuoe mwanamke ili aendeshe familia kwa mfano wa Mungu. Je, endapo jamii au familia inaongozwa na mwanamke huyu Mungu hubadirisha utaratibu na kanuni za umungu wake? Mungu atabaki...
  2. JamiiForums Tanzania Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

    Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda. Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
  3. JamiiForums Tanzania Usitafute utajiri, utajiri ni matokeo. Tafuta kibali cha Mungu

    Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo. Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu. Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi. Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na...
  4. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania Kuna haja ya kuwa na uzalendo, uadilifu na hofu ya Mungu

    "Sipendi kujihusisha na mambo ya siasa wala kuchangia chochote kuhusiana na mambo ya siasa." Ndugu zangu heri nyingi ziwafikie,nikiwa salimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania......... Ndugu zangu kiukweli siasa sipendi kwa sababu ya michezo michafu iliyopo kwenye siasa. Lakini leo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kuna uongozi na Utawala, Ipo siku utawala utakoma (Mungu alichonionesha)

    Natazama ni mtu ambaye umtazamapo uwezi amini alilonalo moyoni. Ni nadhifu na makini. Ghafla nikaona amejawa na roho ya kuondoa uwanadamu. Amejaa uangamizi hata kwa wale walio karibu yake. Yeye uangalia anachotaka na maslahi yake. Ananguvu za utawala, waweza dhani anakuchekea kumbe rohoni...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Mungu atamsamehe shetani?

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe. Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu. Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu...
  8. JamiiForums Tanzania Riziki ya mtu iliishapangwa na Mungu, nyinyi akina taasisi mnajisumbua tu

    Tena nawaambieni tu ikiwa mtu alipangiwa kuwa tajiri atakuwa tu, sio mpaka aajiriwe, na sidhani kama kuna tajiri alieajiriwa, matajiri wengi ni wajasiriamali, poleni utumishi na poleni tamisemi, mimi nipo hai tena mwenye afya njema ninakula ninachokitaka, ninavaa ninachokipenda. Kama mlitegemea...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwanyamazia Maadui zako kwa Kunuachia Mwenyezi Mungu, baadae yakiwakuta Mabalaa Maishani wanaanza kusema Wewe ni Mchawi na Umewaroga?

    Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea Kutujibia Sisi tusio na lolote, uwezo wowote na tusio na baya kwa Mtu huku Wema wetu na Roho Nzuri zetu zikiwa ndizo Fimbo za Kutuchapia, Kutunyanyasa, Kututesea na Kutusimangia hapa duniani. Kama kuna Mtu yoyote unajua fika kuwa kwa Makusudi au kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Karibu tuseme neno kuhusu Mungu anayeilinda na kuipenda Tanganyika na watu wake

    Habari zenu, Mungu aliyetupa utashi na fikra kama viambata vya maarifa ni wa pekee sana, nafurahi ya kwamba kizazi cha sasa cha Tanganyika ya sasa kinauelewa wa haraka sana kwenye mambo msingi hasa yenye uhitaji wa logic na reasoning. Ni Mungu huyu huyu ambae ameniwezesha kuona na kushuhudia...
  11. JamiiForums Tanzania Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

    Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake. Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

    Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali. Hii...
  13. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kapteni Edward John Smith alisema 'Hata Mungu asingeweza kuzamisha hii Meli' (Titanic)

    Nadhani wengi tumetizama movie ya Titanic, ikielezea penzi la vijana wawili na pia kuzama kwa meli hiyo. Inasemekana ina uhalisia kiasi fulani na tukio la kweli la kuzama kwa meli hiyo mwaka 1912. Jambo la kutafakarisha, imekuwa ikidaiwa kuwa aliyekuwa kapteni mkuu wa Meli hiyo Edward John...
  14. JamiiForums Tanzania Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
  15. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

    Uteuzi wa Askofu Malasusa haukuja hivi hivi. Ni maajabu ya mipango ya Mungu. Wengi hawaijui historia ya familia ya Malasusa. Alex Gehaz Malasusa ni mtoto wa pili wa mchungaji mzee Gehaz Malasusa. Mzee Gehaz Malasusa alisomea uchungaji miaka ya mwanzoni ya 1960 hadi huko Marekani, ambako...
  16. JamiiForums Tanzania Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo. Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah! Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mungu Ndiye Anayejua Atakayempokea Urais Rais Samia 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye humpitisha mtu katika njia ambayo wengine hawapitishwi,huyo ndiye humlinda na kumshindia vita vyote viwavyo...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nimejua kwa nini roho yangu huburudishwa sana na nyimbo zenye maudhui ya Neno la Mungu

    Ilishanitokea mara nyingi, japo sikujua sababu hasa. Nilijua roho yangu huitikia vizuri sana nyimbo zenye jumbe za Neno la Mungu. Hata kama nilikuwa nikitembea njiani huku nafsini najisika kukaukiwa au hali ya utupu, nikipita sehemu wanakopiga wimbo mzuri unaokubaliana na Maandiko Matakatifu...
  19. JamiiForums Tanzania Kusema dunia itafika mwisho ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda

    Kusema dunia itafika mwisho, ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda. Ni sawa na kuanzisha biashara kisha ikakushinda na kufirisika. Labda nyinyi binadamu,mnaojifikiria nyinyi tu, viumbe wabinafsi ndo mnaweza fika mwisho,ila inawezekana ndege wadudu na wanyama wakabakia, na...
  20. JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya. Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu. Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…