Je, Mungu atamsamehe shetani?

Im Me

Member
Aug 25, 2022
16
20
Habari wana JF?

Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe.

Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu.

Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu makosa yake na kumuomba msamaha Mungu na kurudi kumsujudia, Je, Mungu atamsamehe shetani?

Kama ni hapana, ni kwanini Mungu hatamsamehe?
 
Hizi simulizi za vitabu vya dini ukianza kuvitafakari vitakunyima usingizi, sababu majibu yake yanagota haraka ama hayana mwisho.

Ndiyo maana saazingine inaonekana kama Mungu na Shetani ni kama Simba na Yanga ni mahasimu wanaoshindania maslahi.

Yaani ni himaya mbili zisizotegemeana na hakuna himaya iliyo juu ya mwingine!

Kungelikuwa na reasoning ya kisomi katika maandishi hayo, basi kungelitokea mambo mawili kumhusu shetani:

Jambo la kwanza, baada ya uasi, Mungu angelimuangamiza kwa ghadhabu.

Jambo la pili pasingelikuwa na dhambi zinazotokana na ushawishi wa Shetani kwa sababu inajulikana wazi kuwa zimetokana na hila yake.

Ndiyo maana Free mason wanaamini kuwa huyu Mungu tunayemwabudu sisi pamoja na Shetani yupo Mungu wao aliyewaumba ambaye ndiye Mungu kweli, hatabiriki, hana hisa na kiumbe kingine chochochote.

Yeye huyo "Mungu kweli" ni mkamilifu kiasi kwamba hahitaji kuabudiwa wala kufanyiwa jambo lolote.

Sasa huyu Mungu tunayemuabudu sisi, ni Mungu wa ghadhabu na wivu, anaangamiza na kupatiliza, anapenda kuabudiwa, kupendwa na kuogopwa.

Ndiyo maana Shetani anapuyanga anavyotaka kwa sababu anajua kuwa Mungu tunayemwabudu sisi siye aliye muumba yeye na hakuna kitu anachoweza mfanya.
 
Inatafakarisha sana
 
Atamsamehe wapi wakati anasubiri hukumu ya kutupwa kwenye ziwa la moto pamoja na malaika wale walioasi? Shetani anafanya bidii kwenda na watu wengi kuunguzwa moto wa jehanamu milele yote
Ikitokea akatubu je? Bado hatasamehewa?
 
Hao watu wengi ni wangapi,au ataanzia kwa huku kwetu,baada ya ukoloni kuingia?maana dhambi huku kwetu,imeanza miaka ya kipindi cha ukoloni,ilipoingia.
 
Habari wana JF?

Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kwenye maandiko ya dini mbalimbali tunaona Mungu anahamasisha kupendana na kusamehe.

Tunatambua kwamba uadui kati ya Mungu na shetani ulitokana na Shetani (Malaika) kumuasi Mungu.

Je, ikitokea siku shetani akakubali kukiri na kutubu makosa yake na kumuomba msamaha Mungu na kurudi kumsujudia, Je, Mungu atamsamehe shetani?

Kama ni hapana, ni kwanini Mungu hatamsamehe?

Unachoshindwa kuelewa ni kuwa Mungu ndiye hiyohiyo shetani.
 
Back
Top Bottom