mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mungu alifanya kazi kwa siku 6 kisha ya saba akapumzika. Tuliwezaje kuijua kama ni Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?

    Wakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA, JUMAMOSI au JUMAPILI?
  2. JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyumba ya Mungu na maisha ya wananchi

    Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake. Taifa letu limejaaliwa rasilimali nzuri sana kwaajili ya kufanya uvuvi endelevu Tanzania kuna mito mikubwa kama mto...
  3. JamiiForums Tanzania Mungu alishaweka sheria za vyakula, ni kwanini kipengere kisichokuwepo kiliongezwa katika mabano (Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote)?

    Kwa kuwa Mungu alituumba na vingine vilivyomo akaona ni kheri atuepushe kula vitu visvyotufaa kama nzi, vyura, konokono, kenge, mbwa, nguruwe, panya, n.k. Kwanini ilitumika nguvu ya ziada kutaka kuaminisha wasomaji wa biblia kwamba Yesu alipowatetea wanafunzi wake kula bila kunawa mikono...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Hellen White yana ukweli kuwa shetani na malaika zake walitubu dhambi baada ya uasi lakini Mungu aligoma kuwasamehe?

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba kujua kama upo ushahidi wa Maandiko kuthibitisha madai kuwa Shetani na Malaika zake baada ya uasi mbinguni waliamua kumlilia Mungu wao awasamehe ila aligoma? Nimeweka nukuu ya Mama Hellen G White Nabii wa Wasabato hapo chini. "After Satan was shut out of heaven...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini tumtumie shetani kutangaza neno la Mungu?

    Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani, Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
  7. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

    Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi" Kiranga ni nani? Huyu ni jamaa ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Ukifa leo utakwenda kwa Mungu?

    Hapa sina nia yoyote ya kumsema mtu ila ni kuelimishana tu Naamini mtu akikaa mwenyewe (peke yake) akatafakari anaweza kujua mahusiano yake na Mungu yakoje namaanisha anaweza kujua kama amefaulu au kuna cha kujirekebisha Sasa kwa kuwa nafasi bado tunayo; kwa nini tusichukue hii fursa...
  9. JamiiForums Tanzania Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

    http://www.youtube.com/watch?v=tPK7kXLgkH4
  10. JamiiForums Tanzania Raisi wetu Samia Suluhu, tumwombee dua gani Watanzania ili aachane na Viongozi wasiofaa?

    Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote. Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu...
  11. JamiiForums Tanzania Namshukuru sana Mungu hakika yeye ni Mungu

    Ndugu wana jukwaa, kipekee kabisa Mungu ni Mkuu anatenda makuu Kwa ajili yetu, nakiri Mungu anatendea vema sana, naichukua fursa kuendelea kumuishi Mungu katika mwili, nafsi na roho. Kila siku niwe sehemu ya kumtumikia kwa kuwa na mtenda mema kwa watu nisiye na wivu, chuki wala husuda, niwe...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mungu hatutolala hatutochoka kukuita mpaka utakapo jibu

    Mungu uliopo juu Mungu muumba wa vyote vinaonekana mpaka visivyo onekana. Wewe ni Mungu tusema Asante kwa kila Zawadi umetupa Taifa zuri Tanzania. Mungu wa Tanzania ni wanyonge na wachache umewapa kutuongoza wamekuwa na tamaa na kiu yakulitafuna hili Taifa kwa uchu wa mchwa walio na njaa Kali...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu humuongoza amtakaye

    Miaka kadhaa nilikuwa naishi wilaya moja huko Dodoma, wilaya hiyo husifika kwa kuwa na watoto wazuri. Tamaa zangu za kimwili zilinipelekea kumtamani mama na bintie na wote nilifanikiwa kuwatumia kama nilivyokuwa nahitaji, mama mtu alikuwa ananipenda kwelikweli na binti nae kwakuwa ndio kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Chid Benz: Hii Dunia hakuna Mungu

    Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah Makwiro almaarufu Chid Benzi
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa upande wa Mungu utashambuliwa sana, CHADEMA jipeni moyo mtashinda

    Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi. Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela. Huku...
  16. JamiiForums Tanzania Mirungi na Bangi sio dawa za kulevya, Mungu aliipanda kwa manufaa ya mwanadamu! Wa kumhoji ni Mungu siyo kutesa watu kwa makosa yasiyo yao

    Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho! Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu! Bangi inaota...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona taifa linapoteza hofu na Mungu ujue siku zinafika soon

    Siku hizi chache hapa jukwaani kumekua kuna rise threads nyingi zikihofia uwepo wa Mungu!, Binafsi nipende kutoa Onyo! Mungu akikasirika hii hii mitandao tunayo itumia kumdiss ataitumia kutuchapia nayo, na haki hamna atakae furahia kichapo hiki cha Mungu+ Si mnaona jinsi now mambo yanavyo...
  19. JamiiForums Tanzania Nawaza ni kama kuna namna katika taifa la Tanzania kitaifa Mungu amesahaulika

    Mara zote Rais wa Taifa hili akizungumza sioni akimtanguliza Mungu na kumtaja ama kumtukuza na kumsifu Mungu wetu wa dini zote aliyepo hai jana, leo na hata milele, sioni faida ya kutamka nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano. Sina hakika na kutamalaki na wito wa mbegu njema ya Mungu chini...
  20. JamiiForums Tanzania Mungu hakukosea kutenganisha nafasi na majukumu katika muktadha wa jinsia

    Wasalaam, Wanaume na wanawake ni zao la Mungu baba wa mbinguni, aliye muumba wa vitu vyote, ukuu wa Mungu na vielelezo vyake ameumbiwa mwanaume. Hivyo nawakumbusha wanajamii na watu wa mataifa Duniani kuzingatia yote kwa kufuata muundo wake Mungu. Itokeapo ukamfanya mke kuwa Mkuu wa kaya zenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…