mungu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna ambaye ameoa au kuolewa atauona Ufalme wa Mungu. Ushahidi huu hapa

    Ukiangalia mitume wale 12, Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura. Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake. Siku ndoa ni kikwazo...
  2. JamiiForums Tanzania Watunza mazingira nao ni "watumishi" wa Mungu hata kama hawaamini katika Mungu

    Nilikuwa nikiwachukulia viongozi wa dini kama watu waliofilisika mawazo wanapoongelea masuala ya tabia nchi. Sikuona sababu ya wao kuongelea masuala hayo wakati kuna wataalam wanaohusika nayo. Ni mpaka nilipoelewa Andiko la Mwanzo 7: 1 - 5 kwa namna nyingine ndipo "nilipowaelewa" Duniani kote...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa tawi la chuo Kikuu cha Al Mustapha , Ali Taghavi awataka waislam kuipenda quraan kwani imetoka kwa Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nabii J. Steven: Dar yapona ghadhabu ya Mungu, mafuriko yasitishwa

    Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama, Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

    Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja. 1 WAKORINTHO 7 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
  8. JamiiForums Tanzania Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

    Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

    Salaam ,Shalom!! Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu. Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima...
  10. JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu hujawahi Kuacha Kusikia na Kutendea Kazi Maombi yangu basi na leo tena hili Ombi langu Ulikubali na litokee kama nitakavyo

    "Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama Kwanza tuanze Kupigana wenyewe kwa wenyewe kisha Hasira zetu tuzihamishie kwa Viongozi wetu na baadae...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo! 1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI Huwezi kuroga...
  12. JamiiForums Tanzania Miongoni mwa kitu Mwenyezi Mungu amenilaani na hatanisamehe ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

    Nimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi. Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji. ==== --- Torrential rain and...
  14. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinamuonaje/vinatoaje taswira ya Mungu?

    Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa sasa kuna kiongozi wa dini asiyefungamana na maovu ya kisiasa na kusimama na Mungu wakati wote anapojaribiwa?

    Zamani tulifundishwa tusiwaseme vibaya viongozi wa dini; tukaishi na huo utamaduni na kutufanya kushindwa kulijenga kanisa la kweli na uislamu wa kweli. Kutokana na kufundishwa kuwa waongo mbele ya viongozi wa dini ilituwia ngumu kuwakemea pale wanapokosea. Tukawa tunakwenda kanisani na...
  16. JamiiForums Tanzania Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  17. JamiiForums Tanzania Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel. Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

    Kwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani. Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa, kushauri, kupendekeza na inapobidi kutekeleza na kutoa majibu ya Changa moto mbali mbali zinazoikabili Nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Mungu anafanya kazi kwa wanaojitoa kwa ajili ya wengine na kwa wanaomshukuru

    Tuendelee kufundishana. Wakati mwingine ninaumia ninapoona watu wanaomba na hawapokei kama wanavyotakiwa kupokea, si kwamba Mungu hajakusikia, amekusikia, na atakujibu, ila kuna vitu ambavyo nawe unatakiwa kufanya. Kuna dhambi ambayo Mungu anaichukia sana. Ngoja nitumie Mungu manake mtanielewa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…