Hatujui!.Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
🙏
Uchawa ulafi wa madaraka,utekaji,uuwaji,ufisadi na siasa majitaka,bambikia kesi mchongo,uongo,unafiki, na hila za kisiasa ambavyo vyote vinapatikana Tanzagiza.Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru,Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe
🙏
Ostadhi Vipi kuhusu kuinama inama kama una pumuliwa ana samehe?Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru, kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine na moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema " Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine.
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
mmmmhhh according to tafasiri yako au according to imeandikwa wap?Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru, kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine na moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Mimi sio ostadhi ila Hilo kosa unasemehewa ndugu, ila tu endapo utaungama dhambi zako kwa dhati na usirudie Tena.Ostadhi Vipi kuhusu kuinama inama kama una pumuliwa ana samehe?
mbon yeye anasema samehe mara 70 mara 70Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru, kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine na moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Kama ni hayo 90% ya wabongo hawatasamehewa.Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru, kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine na moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Nimekupa hadi reference kwenye moja ya amri za Mwenyezi Mungu zinazosema kwambammmmhhh according to tafasiri yako au according to imeandikwa wap?
Anasema wewe samehe 7 mara 70 ila hajasema yeye anasamehe Kila kosa.mbon yeye anasema samehe mara 70 mara 70
Wewe kakwambia nani haya? Au ni kwa muongozo wa mafundisho ya imani yako.Kosa ambalo huwezi kusamehewa na Mwenyezi Mungu ni kumkufuru, kumkufuru Mungu kunahusisha matendo ya kuabudu miungu mingine na moja kati ya amri kumi za Mwenyezi Mungu zinasema
" Mimi ni Bwana Mungu Wako hivyo usiwe na miungu mingine".
1. kwenda kwa waganga wakienyeji kutafuta kinga, utajiri n.k
2. Kuwa mchawi, maana yake wewe ni mfuasi wa shetani moja kwa moja
3. Kuabudu sanamu kama wanavyofanya Kanika katoliki n.k
Si anasema yeye ni Mwingi wa Rehema au
Unachanganya vitu ndugu,Si anasema yeye ni Mwingi wa Rehema au