mume wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama". Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana...
  2. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini

    Money Penny: shoga vipi mbona shingo imejaa rangi nyekundu Nani kakung'ata?! "Shoga: mume uyo, kani-ng'atang'ata Jana alipotokea safari Karudi toka safari, sijaonana nae Miezi 6 tangu aondoke, kufika na kufika ananikumbatia mara aning'ate mara aniulize kama nimemmiss Nikamwambia nimemiss...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

    Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja 1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza? 2) Nilitolewa mahari mil 1.6 bi mkubwa ameshakula na taratibu za kisukuma ukiolewa kama haujazaa mahari inarudi na faini...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nilichokikuta ukweni imebidi nimsamehe mume wangu

    Siku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma. Iko hivi mimi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu mwaka Jana mwaka huu wazazi wakaamua wakamilishe taratibu zote ikabaki ndoa tu sasa katika maisha na...
Back
Top Bottom