muislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Mufti Mkuu Abubakar: Mkristo hawezi mfanyia fujo Muislam

    Shekhe Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally, amesema kuwa hakuna ukweli katika taarifa zinazosambazwa kwenye Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii zinazoashiria kuwa Wakristo wanawatukana au kuwafanyia fujo Waislam. Mufti Zuber ameeleza hayo leo wakati akizungumza kwenye...
  2. Pdidy

    Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

    5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power. 1. Unforgiveness If you are still holding...
  3. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Hajawahi tokea Rais Muislam, Makamu asiwe mkatoliki, na vice versa; wakatoliki hawapo tayari

    Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Sheikhe Kishki elewa kuwa hakuna muislam atakayewaponda masheikhe kama watakuwa kwenye Ukweli na Haki.

    Hamjambo Wote! 1. Kuna watu Wana mawazo ya kizamani Sana. 2. Kuwa kwako Mchungaji au sheikhe haikufanyi uwe Special sana kwamba ukifanya mambo yasiyoeleweka watu wasiseme. 3. Au kuwa kiongozi. Sijui Waziri, sijui Rais, sijui Mfalme, sijui Mkuu wa Mkoa. Kuwa na cheo chochote haikufanyi uwe...
  5. L

    Mimi ni Mkristu lakini Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam

    Tumsifu Yesu Kristu, Mimi ni Mkristu wa madhehebu ya Kikatoliki,nasema hivi kwa namna yoyote Ile Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam na wala sikubaliani na Mkristu yoyote Kumpiga muislam. Hata nikiona Mkristu anampiga Muislam nitafanya Kila niwezalo kumzuia asimpige. Toka nikiwa mtoto...
  6. R

    PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

    "Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki. Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
  7. Area 56

    Kumbe Hassy Kitine alikuwa Muislam?

    Nimeona akizikwaa kiislam. Nikasema kumbe kachero wetu alikuwa sheikh. Jina lilinichanganya sana. Naanza kuamini wazee wetu zamani walibadili majina ili wapate fursa ya kwenda shule, wengine wakanogewa na kubadili dini kabisa huko seminari kama ilivyokuwa kwa kachero mbobezi na mwanadiplomasi...
  8. D

    Tetesi: Fiston Mayele kawa Muislamu?

    I will be short Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️ Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion. Kibongo bongo Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa === Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu Katikati ya mafanikio yake ya soka...
  9. Financial Analyst

    Ndugu Covax unahangaika sana kupaka matope Biblia kila siku. Tuanze na wewe utakubali kumpa mtoto wako wa miaka 9 muislam mwenzako aoe?

    Au unasemaje kuhusu kuchinja watu ili ufurahie mabikra 72??? Vp majini wazuri umeshaanza kuwatumia? Una ushahidi gani mtume wako alitumwa na Mungu ana akapaa kwenda mbiguni?
  10. M

    Je ni kweli muislam akitangulia kunyanyua kichwa kabla ya Imam wakati wa swala anageuka punda kama Sahih Bukhari inavyosema? Nani amewahi geuka punda?

    Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda. Je ni kweli watu huwa wanageuka Punda msikitini ? Imesimuliwa na Abu Huraira: Mtume (ﷺ) alisema, "Je, huyo anayeinua kichwa...
  11. ELI COHEN

    Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
  12. dorge

    Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

    Ukweli. Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan. Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
  13. J

    Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo

    Asalam aleikum. Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️ © sifa za mume nimtakae :- Miaka kuanzia 38 Ukiwa na watoto itapendeza sana © Sifa zangu:- Miaka 36 Mtalaka...
  14. H

    WAAFRIKA walio waislam na wakristo wooote ni MATAHAIRA

    Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
  15. Carlos The Jackal

    Ndugu zangu WAISLAM, Mzee Kibao wa CHADEMA aliuliwa waziwazi ,Msikubali Kíongozi wa Dini awaimbishe Porojo za Amani bila Haki

    Allah Akbar !!. Jambo Moja ninalowakubali WAISLAM ni Imani na Misimamo mikali. Quran tukufu inakata Uonevu na Dhuluma Kwa namna yoyote. Kama Mzee Kibao alikua Kiongozi Mkubwa wa CHADEMA, na Muislam mwenzenu, vipi kuhusu Raia wa kawaida kabisaa ambaye ni Muislam na ni Mfuasi wa kawaida wa...
  16. Mhaya

    Kuabudu Jiwe Jeusi pale Mecca, Saudi Arabia ni kama kuabudu sanamu

    Jiwe linaloabudiwa huko Mecca linajulikana kama Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi). Jiwe hili lipo kwenye pembe ya mashariki ya Kaaba, Kaaba ni jengo la pembe nne lenye shuka jeusi na juu limezungushiwa urembo wa rangi ya dhahabu katika Msikiti Mkuu wa Mecca (Masjid al-Haram). Kaaba ni eneo la...
  17. Mowwo

    Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

    Wakuu Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa. Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu? Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili? Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya...
  18. U

    Je kiimani ni sahihi kwa muislamu kutumia au kutamka Yahweh Subhana badala ya Allah Subhana akikusudia maana ileile kuwa Mungu ni mkamilifu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Usiku mwema
  19. M

    Kumbe Aziz K muislam?

    Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada. Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day. Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
  20. MSAGA SUMU

    Sheikh Swed: Hata mtoto muislam atakayezaliwa leo tayari ni BAKWATA.

    Mwanazuoni wa kiislam Sheikh Swed Twaibu akiwa TBC akielezea katiba ya BAKWATA jinsi ilivyoshirikisha waislamu wote wa Tanzania alisisitiza kuwa waislamu wote nchini ni wana BAKWATA. Pia alienda mbali zaidi na kusema kwa Tanzania hii hamna taasisi nyingine inayoruhusiwa au yenye mamlaka ya...
Back
Top Bottom