muhammad

Muhammad (Arabic: مُحَمَّد‎, pronounced [muħammad]; c. 570 CE – 8 June 632 CE) was an Arab religious, social, and political leader and the founder of Islam. According to Islamic doctrine, he was a prophet, sent to preach and confirm the monotheistic teaching preceded by Adam, Abraham, Moses, Jesus, and other prophets. He is viewed as the final prophet of God in all the main branches of Islam, though some modern denominations diverge from this belief. Muhammad united Arabia into a single Muslim polity, with the Quran as well as his teachings and practices forming the basis of Islamic religious belief.
Born approximately 570 CE (Year of the Elephant) in the Arabian city of Mecca, Muhammad was orphaned at the age of six. He was raised under the care of his paternal grandfather Abd al-Muttalib, and upon his death, by his uncle Abu Talib. In later years, he would periodically seclude himself in a mountain cave named Hira for several nights of prayer. When he was 40, Muhammad reported being visited by Gabriel in the cave and receiving his first revelation from God. In 613, Muhammad started preaching these revelations publicly, proclaiming that "God is One", that complete "submission" (islām) to God is the right way of life (dīn), and that he was a prophet and messenger of God, similar to the other prophets in Islam.The followers of Muhammad were initially few in number, and experienced hostility from Meccan polytheists. He sent some of his followers to Abyssinia in 615 to shield them from prosecution, before he and his followers migrated from Mecca to Medina (then known as Yathrib) in 622. This event, the Hijra, marks the beginning of the Islamic calendar, also known as the Hijri Calendar. In Medina, Muhammad united the tribes under the Constitution of Medina. In December 629, after eight years of intermittent fighting with Meccan tribes, Muhammad gathered an army of 10,000 Muslim converts and marched on the city of Mecca. The conquest went largely uncontested and Muhammad seized the city with little bloodshed. In 632, a few months after returning from the Farewell Pilgrimage, he fell ill and died. By the time of his death, most of the Arabian Peninsula had converted to Islam.The revelations (each known as Ayah — literally, "Sign [of God]") that Muhammad reported receiving until his death form the verses of the Quran, regarded by Muslims as the verbatim "Word of God" on which the religion is based. Besides the Quran, Muhammad's teachings and practices (sunnah), found in the Hadith and sira (biography) literature, are also upheld and used as sources of Islamic law (see Sharia).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

    Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,. Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema (REHMA NA AMANI ZIMFIKIE) Swali langu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wainjilisti waliotoka uislamu Musa B. Musa, Ibrahim Dikko, Muhammad Muhammad jinsi wanavyowindwa Nigeria kaskazini

    Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada mkubwa katika kuwakaribisha wageni kwenye Imani na kuongeza utukufu kwenye taifa la Mungu Lakini mbali...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo October 23, 2024 IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike By Emanuel Fabian Follow Today, 9:12 am A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
  4. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

    Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon. Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22...
  5. JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni: Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin) Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa lasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha Maulid Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
  8. U

    JamiiForums Tanzania IDF yafanya shambulio la ndege zisizo na rubani Lebanon, Muhammad Najam Kamanda mwandamizi Hezbollah’s auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Kazi nzito kuwasaka na kuwapeleka jehanam magaidi wa Hezbollah inaendelea kwa kasi kubwa Muda mfupi uliopita gaidi mwingine ameliwa kichwa na drone ya IDF akiwa kusini mwa Lebanon Jina la gaidi huyo MUHAMMAD NAJAM Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Soma Pia...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

    Wadau hamjamboni nyote? IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege. IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/...
  10. JamiiForums Tanzania 1990 Muhammad Ali saved the lives of 15 U.S hostages in Iraq by going there and negotiating with Saddam Hussein by himself

    Ignoring warnings from the government and his family. --- Of all the legendary wins in Muhammad Ali’s life, few are as little known as the one he pulled off exactly 25 years ago today: Defying the odds and the American government, Ali traveled to Iraq, where 15 Americans were being held hostage...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mfalme wa Nchi ya Jordan anatoka kwenye Bloodline ya Mtume Muhammad?

    Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad. Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume. Familia ya Kifalme ya Alaouite ya Morocco inadai kuwa nasaba ya Mtume Muhammad katika ukoo wa Imam Hasan ibn Ali. KINACHONISHANGAZA FAMILIA...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitabu vya shule Kenya vyamtukana Mtume Muhammad

    Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w. Katika kitabu hicho kuna picha iliyotajwa ndiyo ya Mtume s.a.w ambapo watoto wanatakiwa waikamilshe kwa kuipaka rangi ili...
  13. JamiiForums Tanzania Anayosema Muhammad (S.W.A) ni kweli

    Amani iwe juu yenu. Nianze kwa kunukuu kutoka sura ya NNAJIM(nyota) aya ya kwanza inasema"hakuna anachosema muhammad isipokuwa wahyi" ni kwamba wengi wanamzushia uchawi na kumwambia mtunga mashairi ila mungu anawaambie wote wanaokebehi kuwa yeye ndiye anaongea kupitia mtume wake. Wengine...
  14. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

    Umewahi kuona muuaji ambaye polisi wanamlilia, wanahabari wanalia, watu wanakusanyika wakimuombea msamaha, na nchi nzima inalia, lakini pamoja na yote hayo hukumu ya kifo ikatekelezwa? Tukio hili la kusikitisha sana la mauaji ya kukatwa kichwa kwa upanga lililotekelezwa tarehe 20 Septemba mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

    Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu. Mfano; 1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli. 2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa 3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua 4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana...
  16. JamiiForums Tanzania Muhammad Ali Shouting at Sal Davis: "Salim Don’t Go Anywhere I Want to Talk to You." Frankfurt 1966

    *Don’t go anywhere I want to talk to you.’’ (Muhammad Ali shouting at Sal Davis, Frankfurt, Germany 1966) ‘’When I was in Paris I used to stay late to watch Ali’s fights. He had defeated Sony Liston and Ali was now ‘The World Heavy Weight Champion’ the greatest of all time as he used to call...
  17. JamiiForums Tanzania Sheikh Muhammad Iddi amjibu Lema

    Safi sana Sheikh Muhammad Iddi, Allah akuhifadhi sheikh wetu. GODBLESS LEMA , na wenzio wenye element za udini, ukabila na ubaguzi + chuki dhidi ya waislamu, jirekebisheni, narudia tena jirekebisheni. Bhujiku ng'waka! Hammaz
  18. JamiiForums Tanzania Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

    Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
  19. JamiiForums Tanzania Dua ya Muhammad Ali Kinshasa 1974

    DUA YA MUHAMMAD ALI KINSHASA 1974 Kwenye kitabu cha maisha yake, "The Greatest My Own Story," Ali anaeleza vipi mzee mmoja kutoka Cuba mchuaji wake misuli alivyokuwa anamnanga kuhusu yeye kujiita, "The Greatest." Akimwambia kama kweli wewe ni Greatest mpige Foreman siyo ajisifu kwa kumpiga...
  20. JamiiForums Tanzania Mualiko kwa wana JamiiForum: Tarehe 12/12/2022 tutakuwa na Mawlid ya Mtume Muhammad (S.A.W) hapa BAKIIF ISLAMIC

    السَّلاَمُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَاتُهُ Kama mjuavyo uislamu sio dini ngumu, thamani ya Biriani, Pilau na Ubwabwa, viliwe katika mjumuiko wa kheri ambao MUNGU anauridhia, hivyo tunachukua fursa hii kuwatangazia waislamu wote wa JamiiForum kwamba Tare 12/12/2022 siku ya Jumamosi saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…