Sheikh Muhammad Iddi amjibu Lema



Safi sana Sheikh Muhammad Iddi, Allah akuhifadhi sheikh wetu.

GODBLESS LEMA , na wenzio wenye element za udini, ukabila na ubaguzi + chuki dhidi ya waislamu, jirekebisheni, narudia tena jirekebisheni.

Bhujiku ng'waka!

Hammaz

Ahsante sana ndugu yangu!

Hii nimebahatika kuisikiliza magharibi ya leo. Sheikh Muhammad Iddi nukta kazipangilia vizuri! Nimeupenda mtiririko wake!
 
akili ndogo za watanzania kuchukua vipande vidogo na kuvizambaza "'""" hivi athari za hii dhana ya udini tunaijua !!CCM wakishindwa hoja wanakimbilia kuwadaka wajinga na kuwakabidhi dawa zao Sasa hili la udini tuendelee kuwa nalo panga langu nitahakikisha Lina kata mwenye shati na rangi ya CCM ,hatujasahau pale CUF walipoambiwa haya ya udini lengo ni kuuawa vyama vya mbadala .CCM jibuni hoja ,Kwa nini MKATABA haujafuata taratibu za nchi?Kwa nini DPWORLD atembezwe nchi nzima kana kwamba yeye amefila maccm wote?Kwa nini wabunge badala ya kujadili MKATABA wanajadili watu? Kwa nini kila mtawala anasema neno lake mara nkatabaaaaa mwingine makubalianooooo ?Kwa nini MKATABA huu hauna ukomo?Kwa nini Baraza la MAWAZIRI hawapitia MKATABA huuuuu?
 
Pamoja sana sheikh wangu, Hawa watu hawana hoja, bali wanatumia nguvu kuudhalilisha uislamu, na hawatofanikisha kamwe
Wameshafeli wanafikiri waislamu wana nakisi ya ufahamu. Wengi wao wametulia ila wanajua wanachokitafuta kukifanya hawa majamaa ni kipi!

Waendelee kujitoa ufahamu ila matokeo yake watakuja kuyaona mbeleni. Sheikh mmoja mmoja kashaanza kusimama. Wasitupeleke wakasimama masheikh wote na kutoa tamko moja!
 
Kwa ufupi waislam wasasa tofauti kubwa waislam wa enzi ya nyerere wa sasa ni watu wabinafsi na wasio jielewa duniani
Wangekuwa hawa wa sasa Usultani ungekuwepo Zanzibar mpaka kesho, japokuwa sio wote wapo wachache wanaomuona Mwaarabu kama mtu wa kawaida tu,ila Walio wengi sina la kusema.
 
MNANIKUMBUSHA MATAMKO FLANI YA HUKO NYUMA:

2021: Shehe mmoja kwa jina Kishki, alitoa agizo kwa kifo kumchukua afande sele baada ya kumkshifu Mungu wao
2020:Aliyekuwa shehe mkuu, alitoa agizo kwa Mange Kimabi kwamba atakuwa amefikia ukomo wa maisha yake 2020.
Afande sele, Mange kimambi wapo mpaka leo!

HIVI NI KILA VITA LAZIMA MPIGANE?
KWANI KUWA KIONGOZI WA DINI NI UTAKAFITU AU USAFI?

KWA SASA WATETEZI WA DP WORLD:
1. MACHAWA WOTE
2. WATANGAZAJI WA TV NA RADIO UCHWARA NA MASHOGA,
3. MASHEHE! (TUWAITE WATAKATIFU MASHEHE-muqadas)


JUZI JUZI HAPA KUNA KAJAMAA FLANI ETI NAKO NI KA SHEHE KAKAIBUKA KUJIBU HOJA ZA PROF.SHIVI!

HAYA SASA MKISOMA HII KOMENTI YANGU, TOENI TAMKO LA KIFO

FOOL!
 
Wangekuwa hawa wa sasa Usultani ungekuwepo Zanzibar mpaka kesho, japokuwa sio wote wapo wachache wanaomuona Mwaarabu kama mtu wa kawaida tu,ila Walio wengi sina la kusema.

Chuki zimeejaa vifuani mwenu mkisikia tu mwarabu matumbo yanawaka moto, mkisikia tu uislamu matumbo yanawaka moto, waarabu tunawapenda na pia ni ndugu zetu katika imani utake usitake, wewe na ukristo wako nenda kwa hao mayahudi wako unao amini wanakupenda na kufuata unachokiamini wewe, Waabheja sana
 
Kwa ufupi waislam wasasa tofauti kubwa waislam wa enzi ya nyerere wa sasa ni watu wabinafsi na wasio jielewa duniani
Umezaliwa mwaka gani? Enzi za nyerere ulikuwepo? Unajua kilichoendelea kwa yule mzee wenu imefikia wengine kumtukuza? Basi kama ulikua hujui historia yake basi ulizia upate kufahamu kwa Mohamed Said
 
Wale Maaskofu walipoenda kupanda jukwaani mikutano ya Chadema wake ndo wako kwenye dini sahihi sio?
Au wale ndo wazalendo?
Hawa wengine wote Wana udini si ndio?
Namaanisha wote. Japo binadamu huwezi kumtenga na dini.

Dini inafungamana na siasa au siasa ndio inafungamana na dini?

Viongozi wa dini( Imani) wajikite kufundisha maadili mema Kwa manufaa ya Taifa.

Lakini huku kutumia udini Kwa mambo ya kitaifa sio Jambo jema.. huu ndio ushauri wangu mkuu.

Sifungamani na upande wowote
 
Back
Top Bottom