muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unabadilisha mswaki baada ya muda gani?

    Hua unabadilisha mswaki baada ya muda gani? ====== Mada unayoshauriwa kusoma:Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?
  2. JamiiForums Tanzania Andrea Pirlo atatimuliwa kazi Juventus muda wowote kuanzia sasa

    Ripoti kutoka Italy zinasema kocha wa timu ya Juventus na staa wa zamani wa timu hiyo, Andrea Pirlo atatimuliwa kazi muda wowote kuanzia sasa! Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya msimu huu huku wakimaliza nafasi ya 4 katika Serie A. massimiliano Allegri kocha wa zamani wa timu hiyo anatajwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

    Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotamani kumuua jirani yangu aliyenipora sehemu ya kiwanja changu

    Habari wadau..! Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani. Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu. Hauwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Muda wa kuomba ajira za walimu na watu wa afya waongezwa

  6. JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

    NILIWAHI KUMWAMBIA HAYATTI MAGUFULI, LEO NARUDIA KWA RAIS SAMIA, ILI ASIJEPOTEZA MUDA WAKE. Na, Robert Heriel Niliwahi kuandika hapa miaka mitatu iliyopita, niliipa makala ile kichwa kisemacho "Rais Magufuli unapoteza muda wako tuu" katika makala ile watu wengi walinitukana, wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Malawi kuharibu chanjo 19,000 za Covid 19 zilizopitisha muda wa matumizi

    Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano. Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na hakuna data ya kutosha kujua ikiwa ni salama kutumiwa, kufuatia mwongozo kutoka kwa Shirika la Afya...
  8. JamiiForums Tanzania Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

    Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu. Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe. Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mechi Ya Azam FC na KMC Wabadilishwa Muda.

    Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....! Source: Blog Ya SalehJembe. Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Yanga FC wagomea mabadiliko ya muda wa mechi

    Yanga naona wanajitambua, hawataki kupelekeshwa.
  11. JamiiForums Tanzania Jifunze hapa jinsi ya kuzivuta fursa na kuzitumia ndani ya muda mfupi

    JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi. Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa? Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini? Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo. Angalia...
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifike muda mindset zetu afrika zibadilike

    Kuna jambo Africa hua tunazingua kbsaa. Africa tunapenda kuonewa huruma kulalamika sana na ku pretend kua sisi ni wema kuliko mataifa mengine Siku hizi kuna wimbo wa ukoloni pamoja na mabeberu baadhi ya watu hutumia picha enzi za biashara ya utumwa ili kujenga chuki Wengi huona km mataifa ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa muda mrefu

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
  14. JamiiForums Tanzania CCM mpya mwacheni Rais Samia afanye yake, huyu ni Rais wa nchi sio wa CCM. Mlivyolivuruga Taifa inatosha, ni muda wa nchi kufufuka

    Wanajamvi Salaam, Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT. Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi. Leo...
  15. JamiiForums Tanzania Wanyonge sasa muda wao na wao kuishi kama mashetani, sisi matajiri zamu yetu imekwisha

    Habari wadau..! Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo. Kuna dalili ya kwamba 1. Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu 2. Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa nashindwa kabisa 'Kuwaelewa' Dada zetu ( Wanawake ) hasa wa Kitanzania ( Kiswahili )

    Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja. Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

    Utengenezaji wa mbegu za kiume katika kiwanda cha kutengenezea mbegu katika mwili wa mwanaume (mapumbu) huchukua muda mrefu kuliko wengi wanavyodhani. Mfumo hutengeneza sperms kila siku, lakini mzunguko kamilifu wa sperm zilizokomaa kabisa unachukua kati ya siku 64 mpaka 74. Wakati wa mlolongo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

    Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
  20. JamiiForums Tanzania Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

    Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever. Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…