muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania

    Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu. Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
  2. JamiiForums Tanzania KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

    KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa rafiki yake wa muda mrefu Bw. Sergey Brin muanzilishi mwenza wa Google

    Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google. Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga...
  4. JamiiForums Tanzania Top ten yangu ya Slow Jams kali za muda wote

    Waliosoma miaka hiyo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 nadhani hapa mnaweza kukumbuka mengi. Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye top ten yenyewe; 1. End of the road - BOYZ II MEN 2. I love you - CELINE DION . 3. I'll make love to you - BOYZ II MEN 4. Color of love - BOYZ II MEN 5. Last...
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Mwijaku unaharakishwa muda huu

    Baada ya pengo la attack dog kutokea leo imeonekana kwamba kwa sasa hivi kutakuwa na ombwe kubwa la mtu wa kurusha dhihaka na vijembe kwa Barbara na Mo dewji Kwa kuwa ni wazi H Bumbuli hawezi kazi hiyo shughuli hiyo inaangukia kwa Mwijaku ambaye yeye mwenyewe juzi kasema yuko tayari kufanya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza muda mwingi darasani kusoma vitu ambavyo havina msaada na maisha yetu

    Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani. Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama...
  8. JamiiForums Tanzania Abraar Education Centre Mafunzo tofauti ya muda mfupi

    Hapa Abraar Education Centre tunatoa mafunzo yafuatayo kwa vitendo... 1) Mafunzo ya kuunda vifaa vya ujenzi (masonry). 2) Mafunzo ya ujenzi (masonry). 3) Mafunzo ya lugha ya Kingereza (Engloish language). 4) Mafunzo ya ya Lugha ya Kiarabu (Arabic language). Na hivi karibuni mafunzo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Athari kukaa muda mrefu kwenye kiti hii hapa

    Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu. Wameshauriwa kujenga tabia ya kusimama na kufanya mazoezi ya kunyoosha mwili ili kujiepusha kubana mishipa hiyo. Mtaalamu wa Udhibiti wa Magonjwa wa Wizara ya Afya, Dk...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mtu muhimu sana kwangu ndio maana nimetenga muda wangu kuongea na wewe

    Ewe mwanadamu uliyepata nafasi ya kusoma huu ujumbe.Jua ya kwamba mimi nakutakia mema.Hunijui sikujui ila nacho jua ya kwamba wote tuna Baba mmoja Adam na Mama Mmoja Hawa.Tunaishi kwenye Dunia hii Tukiwa na Lengo la kuishi MAISHA MAZURI NA BORA kwenye ulimwengu huu wa sasa na Maisha bora zaidi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Wahandisi ERB waendelea kukwama kisa bodi iliyopo imemaliza muda wake. Rais tunaomba uteue Mwenyekiti mpya wa Bodi

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake. Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na...
  12. JamiiForums Tanzania Yuko Bafuni Muda huu...

    Nashukuru nimefika salama Dodoma nikitokea Iringa ambapo nilipata penzi motomoto, nimeamua kufikia Lodge moja hivi pande za Kisasa, hii ni kutokana na kuwa na miadi na demu wangu wa Facebook ambaye tulianza kuwasiliana kitambo sana, kwa taaluma ni mwalimu, saa 8 juu ya alama nimempitia kazini...
  13. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Ukitegesha alarm usiku lazima uamke muda mfupi kabla ya alarm kulia

    Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
  15. JamiiForums Tanzania TFDA ni muda sasa wa kuingia na kukagua bidhaa katika masoko ya vyakula

    Mamlaka zetu nyingi zimekuwa zikifanya kazi katika mfumo ule ule wa zamani tofauti na hali halisi ya sasa. Kwenye masoko ya vyakula hali ni hatari mno maana wananchi wengi wanalishwa sumu bila kujua,na lengo la mfanyabiasha ni kupata pesa bila kujali anaenda kumuumiza mlaji. Juzi kuna Mama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nilijua Marais duniani wakizungukwa na 'Mabodigadi' hawawezi Kuuliwa, kumbe Watu wakikutaka 'Wanakushinzo Abe' muda Wowote ule

    Marais tuliopo tujitahidi Kuongoza kwa Haki ili nasi Wananchi Wetu wasije 'Kutushinzo Abe' tukiwa tunaigiza Sinema na akina Rambo na Van Dame au tunalima Karafuu au tunakula Samaki za Feri Magogoni au tunakunywa Mvinyo wa Wagogo. Kulindwa na 'Makomandoo' siyo Kigezo kuwa 'Makomandoo' wengine wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

  18. JamiiForums Tanzania Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  19. JamiiForums Tanzania Muda wote tu unawaza Kusafiri 'Majuu' kwanini huku nyuma Wajanja 'wasikupige' na Kujitajirisha?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aeleza kutoridhishwa na kasi ya uendeshwaji wa bandari. Chanzo: ikulu_mawasiliano Na kwa Kukusaidia hupigwi tu hapo Bandari bali unapigwa zaidi katika Utalii, Wizara ya Fedha na katika Madini. Si ulisema Wewe utakuwa Mpole na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mambo mengine usipoteze nguvu zako kuyapinga

    ✍️ Hakuna namna ya kuyakataa haya mabadiliko. Kinachoitwa ukosefu wa maadili leo hii hata ukikemea utapoteza nguvu tu. Mambo yenyewe yalianzia kwa wazungu, inavyoonekana wao wameshayafanya wakakinai wamebaki kuendekeza ujingaujinga mdogo Kama ushoga, ngono kati ya wazazi na watoto nk. ✍️Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…