muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeanza kusex tena baada ya muda mrefu kujizuia

    jambo wadau wote wa Jf -Awali ya yote niwape pole na mapambano ya kimaisha na kiujumla nawapa pole kwa maumivu ambayo tunaletewa na serikali hii ya kishenzi ya samua suluhu. note:sio mwandishi mzuri Nirudi kwenye maada ni kwamba mimi ni kijana wa makamo around 26s hivi,nimepitia vipindi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MUDA WA KUONDOKA UKIFIKA ONDOKA UKILAZIMISHA KUBAKI UTAFUKUZWA KWA AIBU

    JIFUNZE KUTAFASIRI MAZINGIRA,ISIWE NI KIPINDI CHA KUTOKA WEWE UNANG'ANG'ANIA KUBAKI ✍️ WENGI TULIZAMISHA KUBAKI SEHEMU TUNAZOTAKIWA KUTOKA TUKAISHIA KUPOTEZA MUDA NA HESHIMA 😔 MAZINGIRA HUZUGUMZA NA UKIJIFUNZA KUYAELEWA UTAEPUKANA NA TATIZO LA KUPOTEZA MUDA ✍️ MUDA WA KUONDOKA UKIFIKA...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Garage bubu zimekuwa kero Ilala, mamlaka zinatakiwa kushughulikia hili

    Nimezaliwa mwaka 1997, na Ilala ilikuwa sehemu nzuri sana kwa watoto kuishi na kukua kwa sababu ilikuwa karibu na maeneo mengi ya kucheza, huku miundombinu ikiwa tayari imefika maeneo hayo. Hata hivyo, baada ya zile kota za pale Karume kuvunjwa na kujengwa Uwanja wa Karume wa mpira, pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Muda wa meli kukaa Bandari ya Dar umeongezeka, kumechochea mfumko wa bei

    Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameishutumu Serikali kwa kuwadanganya wananchi kuhusu ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam. Mtutura ameeleza kuwa kipimo mahsusi cha ufanisi wa bandari ni muda ambao meli inachukua tangu...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume kabisa unatenga muda wa kumsikiliza Rose shaboka serious?

    Hii Nchi wanaume Wana mambo ya ajabu sana. 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
  6. JamiiForums Tanzania Nchimbi alijipangia tarehe ya kujiuzulu rasmi ambayo ni 04/09/2026 huo muda angefanya kazi na nani? Au hajui athari za tukio alilolifanya?

    Alitoa barua ya kustaff tar 25/9/2026 na kujipangia kuwa atajihuzuru tar.4/9/2026 sijajua alitaka afanye nini ofsni huo muda na nani na wapi ? Ili Hali ashaonyesha usaliti mkubwa kwa Taifa na kwa chama au naye hajui athari za aliyoyafanya? Au tuseme uchawi upo 🤣 Nadhani naye Bado hajui amefanya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa humu kwa muda mrefu!

    Tutakuwa humu kwa muda mrefu! Kuna wale wadhaniao kuwa hali tuliyonayo Watanzania ya kunyimwa uhuru wa kisiasa, kutishwa na kutishiwa, kutokuwa na uamuzi wowote juu ya serikali yetu, watu wachache kufaidi kupindukia, mtu kutokuwa na uhakika wa usalama wake.....yote haya yalianza vuuu tu, au...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je Kumsimamisha Mtuhumiwa Kwa Muda Mrefu wakati Waendesha Mashtaka wanabadilishana na kukaa

    There is no fixed legal time limit for how long an accused person must continuously stand in the dock during a court session, but standard practice dictates that a defendant should not be forced to stand for unreasonably long periods that cause physical distress or compromise a fair hearing...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna muda baadhi ya watu walidhani Nchimbi anatufanyia maigizo kwenda kinyume nao, kumbe jamaa alikua hatanii, salute kwake.

    Nisiandike mengi, niseme tu, salute kwako balozi, dkt Nchimbi Tungekua na wanaume watano tu kama wewe huko sisiem basi tungelikomboa taifa
  10. JamiiForums Tanzania CCM wameanza vikao vya Usiku. Wamepoteana hadi muda huu

    KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Agosti 26, 2026, saa 3:30 usiku. Mkutano huo utafanyika katika Ofisi Ndogo za CCM...
  11. JamiiForums Tanzania TAZARA yatangaza mabadiliko ya Muda katika Uendeshaji wa Treni Za Abiria, 26 Agosti 2026

    TAARIFA KWA UMMA MABADILIKO YA MUDA KATIKA UENDESHAJI WA TRENI ZA ABIRIA 26 AGOSTI 2026 Kutokana na changamoto za kiutendaji zinazotokana na kufungwa kwa muda kwa njia mbili za reli katika sehemu ya Kapwila-Msanza nchini Zambia na sehemu ya Mwakanga-Mzenga nchini Tanzania, mabadiliko yafuatayo...
  12. JamiiForums Tanzania Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji Musoma Mjini, yanapatikana usiku

    Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata maji. Tunaomba mamlaka husika ichukue hatua kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hatuumii kiongozi kustaff bali ni zile stahiki atakazoendelea kupokea ili hali hajalitumikia Taifa kwa muda mrefu katiba ibadilishwe kwakweli

    Viongozi wetu kuweni wavumilivu muombeni sana Mungu, mjue kuwa mnavyojihudhuru mnalitia hasara Taifa na sisi Watanzania. Kuweni wavumilivu mwishoni mtavikwa taji la USHINDI Taifa linaanza kuwapa stahiki ili hali hawajalitumikia Taifa ipasavyo. Tunaomba katiba ibadilishwe katika kipengere hicho...
  16. JamiiForums Tanzania Maombi ni upotevu wa muda

    Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii. Lakini uhalisia haupo hivyo. Watu wanaomba kazi badala ya kujitengenezea fursa. Wanaomba uponyaji badala ya kutafuta matibabu. Wanaomba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama ya ICC itakuja kuponya majereha yote haya japo inachukua muda

    Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi. Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu. ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie...
  18. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwamba muda kadhaa jela au faini kiasi fulani?

    Kwamba ushahidi na utetezi inaonesha si kosa moja kwa moja Iła viashiria vya kosa hilo, Hivyo waamuzi wanasema muda jela au lipa kiasi fulan Hii umaanisha nini? Britanicca
  19. JamiiForums Tanzania RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake. Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
  20. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hanipi muda lakini yupo online muda wote

    Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo. Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…