babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,413
- 21,109
Kuna vitu vinachekesha sana Chid Benz huku na Q Chief nyimbo nzuri ina vina na maono wanaimba no hamna mwenye habari.
Kuna wimbo unaitwa "Makusudi" wa Awilo Longomba hamna hata verse moja anaimba zaidi ya kucheza beat,mara umenigusa makusudi,umenipamia makusudi,umenipara makusudi.
E bana sebene hapo ni balaa na video imerekodiwa hapo mjini.
Ukirudi muda nyimbo vina na mambo kasimulia Chid na kumpa asante Qchillah na hata huo muda Chid kaflow sana na katuomba msamaha alipokosea .
Chid apewe support tu pumzi anayo sana tu kuhimili jukwaa