JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Salama kaka. Ndugu yangu anauza friji lake ambalo ni jipya kabisa. Anaamua kuliuza kwa sababu kwa sasa anamhudumia baba yake ambaye anaumwa, hivyo gharama za matibabu zimekuwa kubwa na anahitaji fedha kwa ajili ya kodi
Friji lipo Makabe, lita 177 lina warranty na liko katika hali nzuri sana.
Bei 550
Bei na maelezo zaidi wasiliana naye kwa namba:
0655 154 321
Friji lipo Makabe, lita 177 lina warranty na liko katika hali nzuri sana.
Bei 550
Bei na maelezo zaidi wasiliana naye kwa namba:
0655 154 321