MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Msaada wa haraka tafadhali!
Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k.
Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje?
1...
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Chanzo gazeti la Mwananchi la leo
Nini maoni yako
Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake na pesa zake ndio zinamfanya awe na kiburi.
Hakuna mtu aliyezaliwa kutawala milele watu wanazaliwa...
Hongera Sana Yericko Nyerere.
Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo .
Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme .
Huu...
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na...
Ndugu wana JF,
Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM.
Kete muhimu za...
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!
Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi na watu wengine wa serikali kwenye huu mchakato wa uchaguzi. Leo polisi wamekuwa wema kwa Mbowe...
UTANGULIZI
Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...
Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni.
naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs.
It's very painful.
NB: mimi sio mwa CCM.
Alianza Makala (Katibu wa Itikadi CCM) kutabiri "laja varangati la haja ndani ya Chadema." Na kweli utabiri huo umetimu.
Uzuri wa CCM hukutumia na wakijridhisha huna madhara-wanakutupa kama ganda la ndizi.
Sasa, kama walivyopata kutumika waliopita, ndivyo TAPELI LILILOBAINIKA/LILILOJIBAINISHA...
Leo Mpanzu ataanza safari yake ya mpira akiwa Msimbazi pale Simba inakapoumana na Kagera sugar .
Hakika huu utakuwa usajili bora wa muda wote kutokana ya aina ya uchezaji wake na nafasi anazoweza kucheza uwanjani .
Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.
Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika, mainjinia; kuomba ufadhili wa pesa wenye riba nafuu, gvt ikielewa proposal yenu mnapewa fund...
Mwanamke asipo mnyonyesha mtoto kwa zaidi ya siku moja maziwa yake huchacha na kuharibika.
Wanawake hushauriwa kumwachisha mtoto ziwa ili asidhurike kwa sababu maziwa hayo hukosa tena sifa ya kutumiwa na mtoto.
Ukweli upoje?
MUDA HUU: WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA TAIFA AMBAO NI VIONGOZI WA CHADEMA WA MIKOA MBALIMBALI YA “KANDA YA PWANI” WANAOMUUNGA MKONO TUNDU LISSU WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI. KARIBU KUWASIKILIZA
https://t.co/ZqIQkJEQLF
Chanzo: Joel Msuya X account.
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅
Yes!
Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.